YouTube
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 936
- 361
Mara wakaushie usiwajibu mara then unanijibu-unaniqoute.Watu wengine hata usiwajibu, wakaushie tu
Mara wakaushie usiwajibu mara then unanijibu-unaniqoute.Watu wengine hata usiwajibu, wakaushie tu
mara wakaushie usiwajibu mara then unanijibu-unaniqoute.
ndugu huwa unajifanya unajua sana na kumbe hujui chochote, na una maneno ya dharau!
kama niliwahi ibiwa alibaba.com ulitaka nikae kimya??
mawazo yangu ya kutoiamini alibaba.com ni lazima uyabebe kama wewe umeamua kuiamini??
huu ni uzi wa pili kuhusu alibaba na nimeona wadau kadhaa kama watano nao wakisema walishawahi ibiwa ndani ya alibaba, hivyo wote ni waongo? hao wote hawajahi nunua hata mswaki ndani ya alibaba??
au umetumwa na mmliki wa ailbaba???
Aliyesema mimi najua ni wewe, sijawahi kukwambia kwamba mimi najua kwa sababu najua kwamba nachojua ni kidogo mno katika hii dunia, ni kama punje moja ndogo sana ya mchanga katika mchanga wa jangwani. Wewe unayejua unaona ni sahihi kusema "alibaba wezi tu" kwa sababu watu kadhaa waliibiwa? watu wanafanya biashara na maisha yanaendelea, kuibiwa kupo tu, hata ebay, amazon, sijui newegg watu wanaibiwa tu, mwizi hazuiliki, haina maana kudiscredit kampuni nzima ya alibaba kwa sababu uliibiwa na muuzaji mmoja! Muhimu kuwa makini wakati wa manunuzi. Alibaba ni kampuni kubwa mno ndugu yangu hata wao wanakumbana na hizo challenge za wezi na hawazifurahii, ndiyo maana wanazidi kuanzisha mbinu za kupunguza au kukomesha wizi, ndiyo maana kwa sasa si ebay wala amazon wanaikaribia alibaba kwa mauzo, na next year wanaanzisha site ambayo itakuwa based US. sisi kuidiscredit based on a few cases wakati watu wanapiga biashara tutakuwa tunajinyima fursa sisi, si wao kuwanyima fursa! btw, hatushindani, tunaeleweshana!
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
kwa kuwasaidia,tumieni mtandao wa paypal pale munapofanya malipo,inapotokea hitilafu yoyote, kama umeibiwa unawaliana na paypal wanakurudishia pesa wako.Wapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana
kwa kuwasaidia,tumieni mtandao wa paypal pale munapofanya malipo,inapotokea hitilafu yoyote, kama umeibiwa unawaliana na paypal wanakurudishia pesa wako.
Mimi ninatumia paypal kwa muda sasa,na nishapata Matatizo ya kuibiwa au kudqnganywa, au mzigo kuishia njiani na kuibiwa na post. Pesa zangu hurudishiwa na paypal pale ninapofanya claim.
Nilikuwa natumia mtandao kama ioffer, wanauza reja reja na jumla.
Please pm namba yako, nahitaji kufanya biashara bt ninaaccesss ndogo abt these issueKama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners .
mkuu nimekutumia pm mbona kimya
www.Alibaba .com .kwenye search engine type biashara yoyote unavyotaka Kama " women clothes or containers or mobile houses .Wafanya biashara kibao watajitikeza hapo register na Anza kuwasiliana .I feel safe and secure sasa Hivi Yaani mpaka kiwandani unaenda unaona bidhaa na kununua Kama ni china India USA .nimeamua kuwashtua mliolala usingizi .
Unafanyaje ili ulipie ushuru wakati wa kununua Mkuu?Ni kweli mkuu,TRA wana urasimu sana tu,sijui ni kutojua au kukomoana tu,sometime naonaga kama kuna option ya kodi kulipiwa kule na wewe kufika hapa ni kusign na kuchukua mzigo tu,uwa ni nzuri zaidi
Namimi naitaji msaada wako my no 0653441748,nitumie msg nitakupigiamkuu pm yako niliiona, nikaanza kuijibu umeme ukakatika siku hiyo wakati nimeshaandika palagraph kadhaa nikakasrika, sasa nimerudi kutoka likizo ya shamba nikikaa ndani nitakuandikia kwa kirefu mkuu ondoa shaka
mkuu kwenye alibaba kuna ALIBABA TRADE ASSURANCE na pendelea kununua kupitia GOLD SUPPLIERS kuliko suplliers wa kawaida. Pia fanya malipo na mawasiliano yote NDANI ya alibaba na sio nje .Mkuu hilo ulisemalo sio kweli kabisa.
Usije ukawaponza waTz hapa.
ALIBABA.COM Hawatoi Guarantee yyt kwa Washiriki waliomo humo na makampuni mengi yaliomo humo ALIBABA.COM hayakubali PAYPAL as a source of payments.
Kwa sababu PAYPAL inakuhakikishua Usalama wa Pesa zako.
Wengi wao wanataka utume pesa kwa Moneygram au Western Union.
Na njia hizi zote HAKUNA USALAMA WAPESA ZAKO.
Ukiwaambia utume kwa (LOC) kupitia benki yako ASILIMIA 90% ya makampuni hayo WANAKATAA.
WIZI WENGI MNO kupita WAAMINIFU.
Mwenye kutaka bidhaa CHINA ni bora mara milioni upoteze hio NAULI uende mwenyewe.
mkuu hii peke yake sio sababu ya kuhalalisha kuwaita "matapeli". Hata ebay si kila muuzaji anakubali paypal. Na nikujuze tu kwamba njia zilizo salama sio paypal peke yake. Unaweza hata kulipa kwa Wiretransfer/western union na bado ikawa ni safe way IKIWA TU account unayolipa/bidhaa unayolipia inalindwa na Alibaba trade assurance. ukilipa nje ya akaunti hiyo utalizwaStori ni ndefu mno.
Kwa kifupi nimekuja washtukia kwenye malipo.
Tumeshakubaliana bei na kila kitu mwisho kwenye kutuma malipo mimi nilihimiza aidha kutumia Paypal au (Lc) letter of Credit kipitia benki yangu, jamaa wanahimiza Western Union yaani utafikiri namtumia shangazi hela ya Sikukuu!
Kuwauliza sababu ya Kukataa hizi njia Ambazo zinakubalika Ulimwenguni kote eti wanasema Pesa inachelewa!
Pumbaff kabisa.
Wizi hawa mi nakwambia.
Na km ukipata muaminifu basi ni mmoja kati ya milioni.