BABA SANIAH
JF-Expert Member
- Oct 20, 2013
- 4,777
- 6,269
Salaaaaaam wote,tuelimishane kwa nini iko hivyo? Ntanua mifano michache
majina yetu mengi tumeiga nje.
Mtu asipotimiza ahadi anaambiwa acha ahadi za kiswahili kua na ahadi za kizungu.
Mitaa tuliojazana wengi inaitwa uswahilini na ya wenye fedha inaitwa mzunguni.
Mswahili na mzungu mkifukuzia msichana wa kiswahili wewe mswahili hupati wakati wewe na mzungu mkifukuzia demu wa kizungu jua mzungu lazima ampe papuch mzungu mwenzie,lakini cha ajabu wale nzi wakubwa wachafu hawaitwi nzi wa kizungu.
Sasa kwa nini tunajudharau? Kuhusu majina yetu hapa jukwaani na kuchanganya lugha ndo usiseme tena.hivi ubongo wetu una tatizo gani?

Wewe eveln salt endelea na uzungu.wa kutoa mafua na kuweka kwenye kitammbaa na kuhufadhi kwenye pochi yako makamasi yako.ndo uzungu huo unaoupenda?
Watafuta ugomvi na muke ya muzungu!
Nilitaka nicoment kitu ila nimekisahau!!!
acha uswahili...........