Kwa Nini Wasio Weusi Hawako Wengi Upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Nini Wasio Weusi Hawako Wengi Upinzani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Superman, Sep 5, 2010.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Source: Michuzi Blog

  [​IMG]

  Mkazi wa Matombo, Morogoro vijijnini Mashariki, akiinadi CCM

  My take:

  CCM ni Chama ambacho kila wanachama wa kada mbalimbali bila kujali dini, kabila, rangi wala jinsia.

  Je, umewahi kujiuliza ni kwa nini kada ya wenzetu Wasio Weusi hawapo upande wa Upinzani?

  Tujadili bila hoja za kibaguzi.
   
 2. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu wasio weusi hawapendi siasa za vurugu na uchochezi, thats why wapo CCM!!
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Is that all?

  Ni kweli siasa za upinzani za vurugu na uchochezi? Unaweza kufafanua?
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wasio weusi wanapenda siasa zenye maslahi kwao/maslahi binafsi, na hasa ya kiuchumi. Na haya yanapatikana kwa kujiunga na ccm tu; kwani kwenye vyama vya upinzani mwanya huo ni mdogo sana.
   
 5. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa kuwa wengi wa watu wasio weusi ni wafanya biashara wa kati au wakubwa,na kulingana na hali ya kubebana na kulindana ndani ya chama tawala ndio kunafanya wengi wao wawe wanachama huko.Ni kwa kulinda maslahi yao.Labda pia wanaogopa mambo ya umafia maana atakaye jiunga upinzani haitachukua muda kuambiwa si raia hata kama ni raia halali,(na yawezekana kweli wakati mwingine kuna utata wa uraia).
   
 6. M

  Mchungaji Ritch Senior Member

  #6
  Sep 5, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Swali zuri sana. Moja asilimia kubwa yao ni wafanya biashara wanaotafuta unafuu katika biashara zao wapi watakapopata mwanya wa kuziendesha biashara kisanii kwa kutolipa kodi halali, biashara haramu katika upinzani hasa chadema huo mwanya mchafu haupo. Nafasi kama hiyo ipo CCM TU. Ndo mana wana wamelundikana humo ushahidi ni Rostam, Jeetu patel, Manji na wengine wengi nitajie japo mmoja asiye mweusi aliyepo CCM na sio mfanya biashara ukichunguza ina ufisadi ndani yake na ufisadi wowote ukitaka kuufanikisha jiunge na CCM cheki jimbo la arusha mjini wafanyabiashara walivyojitolea kumpigia debe batilda ili tu wafanikishe mambo yao ya kifisadi walala hoi wote wanampigia debe Lema na Dr.Slaa na tutashinda one day yes.
   
 7. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #7
  Sep 5, 2010
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Wanaogopa kuambiwa sio raia, pia kusambaratishwa na TRA kwa fitina za CCM.
   
 8. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Ina maana wote wasio weusi wana maslahi CCM?
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Sep 5, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wengi wao wana maslahi. Wachache sana wana moyo wa kutumikia wananchi.
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mchungaji Ritch, noana hii ni post yako ya kwanza. Karibu sana JF, jukwaa huru ambalo tunaongea kwa uwazi bila kumwogopa mtu.

  Je, hakuna hata mmoja mwenye Ujasiri wa kuwa Upinzani? Vipi mzalendo kama Mustafa Sabodo ambaye ni Muasia lakini kaichangia CHADEMA million 100?

  Vipi huyu kijana aliyeshika bango ambaye habari inasema yuko Matombo vijijini, ana biashara gani huko?
   
 11. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #11
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Unaweza kutoa ufafanuzi?
   
 12. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #12
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Na je, ina maana hakuna hata wachache wanaoona chama tawala kinafanya makosa au kuna sera mbadala zilizo nzuri?
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Sep 5, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Naomba nisaidie: Kwa sababu mambo yao yanawanyookea, wanaishi maisha ya peponi katikati ya dimbwi la umasikini. Wawe wapinzani wapinge nini?
   
 14. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wataanza ku-support pindi Chadema ikiingia madarakani. Sasa hivi wana support ccm kwasababu ya vicious cicle. Yaani ccm inapata support kutoka kwao wakati wa campaign na wao wanapata support ya ccm wakati wa biashara zao. CCM imejenga mfumo huo kwa manufaa yake na anayekiuka kanuni za mfumo hushughulikiwa na kulazimika kujisalimisha.

  Hata hivyo wenzetu wasio weusi (hata weusi kuliko sisi) wana biashara na uraia wenye maswali...hivyo wanakula na kipofu bila kumgusa vidole.

  Imefika hatua sasa wameanza kujiingiza kwenye uongozi wa chama na serikali ili kudumisha mfumo huo wenye kuwapa manufaa ya kuishi na kuneemesha biashara zao.

  Kuna kazi ya kufanya ili ku-reverse hiyo hali vinginevo mwisho wake watu masikini wa nchi hii hawatakula matunda yao ya uhuru.
   
 15. K

  Keil JF-Expert Member

  #15
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Matombo kuna gemstones mkuu wangu na hao watu wamejikita huko. Unadhani ni kwanini wachimbaji wadogo wadogo huwa wanafukuzwa? Kisa ni kwamba wanapokuja hao wachimbaji wa kati na wakubwa huenda kuomba leseni kwa kuwa wana mitaji. Unadhani watapata leseni na ruhusa ya kufukuza wachimbaji wadogo bila kui-support serikali iliyo madarakani. I swear, siku ukiona upinzani umeingia madarakani hao wenye ngozi nyeupe utaona wanavyo switch sides ili kuendelea kulinda maslahi yao.
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Sep 5, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Sasa hivi katika vyama vya upinzani, hakuna mwanachama yeyote aliye mweusi?
   
 17. K

  Keil JF-Expert Member

  #17
  Sep 5, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wapo wachache sana, lakini asilimia kubwa ya hawa wenzetu wanaangalia maslahi zaidi.
   
 18. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #18
  Sep 5, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wengi wana passport za Kimagumashi
   
 19. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #19
  Sep 5, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Superman...JF hatuongei kwa Uhuru ila tunaandika kwa uhuru....Inshort hapa JF kuna keyboard Heroes wengi sana.....

  Kwa ukweli hawa wenzetu weupe huwa ni watu wanopenda +ve slope....ni wako tayari kutumia nguvu yao yote kulainisha palipo pagumu, ni niwatu wa kuinuana sana, so wanajua wapi kuna weakness kwa manufaa yao binafsi. hawana mapenzi ya dhati na nchi hii. Iddi Amini alilijua hili ndo maana aliwapa 24 hrs wawe nje ya UG. Sasa hapa kwetu wanajua CCM ndo imeshika mpini kwenye kila sekta. Thus why wengi/Wote wapo huko.

  Hata Chadema Ikitokea wakachukua nchi. Trust me tutawaona koz watajua CCM haina faida tena kwao. so watatafuta mbinu ya kuingia Chadema. (SOMAIA kawapa CHADEMA Mil.100) huwa hawaingii miguu miwili hawa, huanza tartiiiiiiiiibu then huingia full na kukamata watu muhimu na nyeti na huwa hawataki vyeo hawa jamaa. wao ni kuwapa mwanya wa kukwepa kodi na kuwin tenda zote kubwa. Vyeo ni vyetu sisi ngozi nyeusi.......

  Mungu Ibariki Tanzania
   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kama ni hivyo hawa si wazalendo wa kweli . . . .
   
Loading...