Kwa nini wanawake wengi

kwamtoro nafikiri hili ni tatizo la pande zote mbili kwani hata wanaume wenyewe sijwahi kuona mwanume anamwomba msamaha mzazi wake akiwa kapiga magoti au anambembelza mzazi wake huku analia :A S cry: :A S cry:lakini kwa wake/wapenzi wao magoti hupigwa na kilio :A S cry: :A S cry:hutolewa sasa hapo sijui :noidea: :noidea: :noidea:nini kinamotivate hayo hasa kwa wapenzi na sio wazazi!!!!!!!!!!!!!!

Mi nahisi ipo nguvu ya ziada katika mapenzi.....
 
Last edited by a moderator:
mapenzi kitu chengine ndugu yangu.hautakaa uje uishi na wazaza siku zote.na upendo wa wazazi tofauti na wa mpz.mzazi anasamehe na kusahau hatakama umemkosea kosa kubwa lakin mpz kidogo tu anakwambia chukua tym.xaxa kama usipojifunza kuomba msamaha mapema unategemea mtaishije hata kwenye ndoa.mwanamke siku zote anajishusha ili mambo yaende sawa.
 
Upendo wa mzazi na wa mume ni vitu tofaut,mzazi hata umkosee vipi hawezi kukuacha mfano mdogo ni yule mwanampotevu pamoja na yote aliyofanya babae alimpokea na karamu alimfanyia. Ni tofauti kabisa na mume ama mpenzi ambae mda wowote anaeza kukatisha uhusiano,ndo mana wakati mwingine tunajitahidi kua wanyenyekevu kwao...

halafu wasiponyenyekewa watakuja hapa na thread,"wanawake ni majeuri"
 
hivi ulishakosea mzazi
wewe ukaona kweli imemkera... mmh nadhani me nipo tofauti kabisa kuliko
nimuudhi mzazi wangu loh usingizi nakosa sipendi kabisa na mpaka
anisamaehe ......... mpenzi wangu nikiamua siombii msamaha...

Kunatofauti kubwa kati ya mpenzi wako na mwanaume/mwanamke wako
 
Upendo wa mzazi na wa
mume ni vitu tofaut,mzazi hata umkosee vipi hawezi kukuacha mfano mdogo
ni yule mwanampotevu pamoja na yote aliyofanya babae alimpokea na karamu
alimfanyia. Ni tofauti kabisa na mume ama mpenzi ambae mda wowote
anaeza kukatisha uhusiano,ndo mana wakati mwingine tunajitahidi kua
wanyenyekevu kwao...

Mhh......!!
 
Wanasemwa wanawake tu wakati wao wenyewe hata kuomba msamaha kwa wazazi wao imekuwa ngumu mpaka bakora itambae ndo waombe msamaha hii iko kotekote na sio kwa wanawake sote wanaume na wanawake tukikosea kwa wazazi wetu wengi wao huwaga hawaombi msamaha sema wewe mtoa mada umebase tu kwa wanawake sijui wanawake wamekukosea nini jamani?
 
Back
Top Bottom