Ingawa sio wote lakini wengi ni wachoyo sana naona hata wewe unayesoma hii maada kama mwanamke itakuwa inakugusa inawezekana na wewe ni mchoyo.Unakuta nyumbani kuna kila kitu au mumeo amekuachia kila kitu lakini utafanya vijibajeti unavyovijua mwenyewe ili watu wasilizike, muhusika akikuuliza unakuja na majibu yasiyo na kichwa wala miguu yawezekana anayetafuta mwingine sio wewe hii ni kwa nini?
Wanawake waliumbwa kupokea sio kutoa. Ndio maana kwa dini yetu, mwanaume akisha maliza, mwanamke atajijua asipoweza kujifikisha kileleni basi hatofikishwa
Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!
Munkari wangu nimpendae kanifikisha, nami nimeona rahaaaaaaaaaamh! Umefikaje huku??loh!
Munkari wangu nimpendae kanifikisha, nami nimeona rahaaaaaaaaaa
Umenyimwa nini?
halafu ndugu wa mume hawaridhikagi, sijui wapoje?Kajitegemee utagombana na shemeji yako buree.......bajet unataka upange wewe kama mama mwenye nyumba.
Unataka nyama kila siku eeeh....eti haturidhiki,kama umetoa hela vile!!!!!
mh wewe umevurugwa tu huko utokako
Duh hyu mgen balaaa