Habari wanaJF,
katika maisha yangu niliyobahatika kuishi nimehudhuria msiba kadha ya ndugu,jamaa na Marafiki.Lakini ktk misiba hiyo niliyowahi kuhudhuria,sijawahi kuona mwanaume/wanaume wakilia hata km marehemu ni mtu.wa karibu sana kwao,chakushangaza kwa upande wa pili akina mama au wanawake huwa wanalia sana msibani,tena kwa sauti kubwa km watoto wadogo!
Je,sababu kubwa ni ipi inayowafanya wanawake kulia sana kuliko wanaume?
je,kuna sababu ya kisayansi inayotofautisha haya mambo?
Naomba mawazo yenu wakuu.