Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,807
- 2,000

Jamaa karudi home akiwa amenuna baada ya kutofautiana na mwenzi wake...

Hapa mwenzi wake kaanza kumfanyia visa vya kumchokoza kimahaba

Hapa anamuonyesha makalio yake jinsi yalivyobinuka, lakini jamaa kauchuna tu

Hapa anamuonyesha mahipsi yake huku akimuangalia kiuchokozi

Hapa anamringishia kwa kumkatia mauno....

Jamaa uzalendo ukamshinda akamsogelea huku akiwa ametoa macho kodo kodo akiangalia makalio ya mpenzi wake

Akamrukia kwa mahaba na kumkumbatia na mabusu kem kem......
Mchezo mzima ukaishia 6x6
CC: charminglady, Asnam, amu, Tina, miss wa kinyaru, Tina, Chocs, Paloma, Preta
Last edited by a moderator: