Kwa nini wanawake wanakuwaga wachokozi hivi.....!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,395
black-man.jpg

Jamaa karudi home akiwa amenuna baada ya kutofautiana na mwenzi wake...

r-DRAKE-PRACTICE-large570.jpg

Hapa mwenzi wake kaanza kumfanyia visa vya kumchokoza kimahaba

Drake-Practice.jpg.jpg

Hapa anamuonyesha makalio yake jinsi yalivyobinuka, lakini jamaa kauchuna tu

drake-practice-600x401.jpg

Hapa anamuonyesha mahipsi yake huku akimuangalia kiuchokozi

drake-practice_070212_1328628925_29_.jpg

Hapa anamringishia kwa kumkatia mauno....

Drake-Practice.jpg

Jamaa uzalendo ukamshinda akamsogelea huku akiwa ametoa macho kodo kodo akiangalia makalio ya mpenzi wake

artworks-000024874293-ztcx5k-original.jpg

Akamrukia kwa mahaba na kumkumbatia na mabusu kem kem......

Mchezo mzima ukaishia 6x6

CC: charminglady, Asnam, amu, Tina, miss wa kinyaru, Tina, Chocs, Paloma, Preta
 
Last edited by a moderator:
hahahhaaaa Mtambuzi inawezekana huyo jamaa hadi apige starter maana key yake sio automatic hahahaaaa bila kusukuma gari haiwezi kuwaka, du ila hii imesukummwa muda mrefu aisee hadi ilipowaka mmmmhhhh
 
Last edited by a moderator:
black-man.jpg

Jamaa karudi home akiwa amenuna baada ya kutofautiana na mwenzi wake...

r-DRAKE-PRACTICE-large570.jpg

Hapa mwenzi wake kaanza kumfanyia visa vya kumchokoza kimahaba

Drake-Practice.jpg.jpg

Hapa anamuonyesha makalio yake jinsi yalivyobinuka, lakini jamaa kauchuna tu

drake-practice-600x401.jpg

Hapa anamuonyesha mahipsi yake huku akimuangalia kiuchokozi

drake-practice_070212_1328628925_29_.jpg

Hapa anamringishia kwa kumkatia mauno....

Drake-Practice.jpg

Jamaa uzalendo ukamshinda akamsogelea huku akiwa ametoa macho kodo kodo akiangalia makalio ya mpenzi wake

artworks-000024874293-ztcx5k-original.jpg

Akamrukia kwa mahaba na kumkumbatia na mabusu kem kem......

Mchezo mzima ukaishia 6x6

CC: charminglady, Asnam, amu, Tina, miss wa kinyaru, Tina, Chocs, Paloma, Preta

Chezeiya ke wewe...... Habanduki hapo hata kama kafura!!!!!! :A S-alert1: :A S-alert1: :A S-alert1:
 
show wat ur mama gave yu is healthy recomended!
source watu8 sijui alisemaga wapi vileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
af we mzee hujitaki wewe hizi chabo chabo vyumbani kwa watu hizi kuna siku utapofuliwa macho.mwone miwani ile ka dume la kobe!mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiou!
 
Ha ha ha ha haaaaaaa

Nilijua tu hutakosa la kusema kwa jinsi ulivyo mpana kama unga wa ngano.......... LOL
 
Hata kama huna ham lazima ashki zije haraka maana hakuna namna ni kutegeka tu.
 
Huyu jamaa itakua anatumia desel, kwa sisi petrol hatufiki kote huko
 
black-man.jpg

Jamaa karudi home akiwa amenuna baada ya kutofautiana na mwenzi wake...

r-DRAKE-PRACTICE-large570.jpg

Hapa mwenzi wake kaanza kumfanyia visa vya kumchokoza kimahaba

Drake-Practice.jpg.jpg

Hapa anamuonyesha makalio yake jinsi yalivyobinuka, lakini jamaa kauchuna tu

drake-practice-600x401.jpg

Hapa anamuonyesha mahipsi yake huku akimuangalia kiuchokozi

drake-practice_070212_1328628925_29_.jpg

Hapa anamringishia kwa kumkatia mauno....

Drake-Practice.jpg

Jamaa uzalendo ukamshinda akamsogelea huku akiwa ametoa macho kodo kodo akiangalia makalio ya mpenzi wake

artworks-000024874293-ztcx5k-original.jpg

Akamrukia kwa mahaba na kumkumbatia na mabusu kem kem......

Mchezo mzima ukaishia 6x6

CC: charminglady, Asnam, amu, Tina, miss wa kinyaru, Tina, Chocs, Paloma, Preta

wanaume wawili tofauti hao,huyo alielainika ni DRAKE huyo alinuna simjui nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom