dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,143
- 5,609
Habari waungwana wakiume kwa wakike,
Ni mtihani ambao tunakutana nao sisi wakiume kutoka kwa upande wa kike. Pale unapokuwa katika matembezi kitaani ama hata nje ya mtaa, na tunajua kwamba macho hayana bazia, hiki kitendo cha wanawake kuvaa kanga moja tu ni mtihani mkubwa sana kwa kweli, unamkuta mkuta mwanamke kavaa kanga moja tu pengine hata masafa aliyotoka ni marefu kabisa, mtihani unakuja pale upepo unapoblow kwa kasi, basi nguo zake za ndani huonekana na inabidi atumie jitihada zake zaidi za kuweza kuzuia kwa mikono ile kanga ili isipeperushwe zaidi ambayo itambakisha uchi, ukitazama kwa bahati mbaya mara moja sio kosa , kosa ni ukirudia kwa mara ya pili tena. Hivi unarusu mtu ambaye hatakiwi kuona kilicho ndani akione?, wakati anayestahili kuona ni mumewe pekee!, wanakera sana .
Jirekebisheni bwana, ioneeni huruma miili yenu.
By
Dimaa