Kwa nini wanawake mko hivi?

mmh na juzi tuu nilikuwa nakwambia hivyohivyo ukawa unanibishia leo kasema mwingine umechukua point yangu na ku-second the point...

Mi wewe nakubishia kama Kelly, cause it feels ggod for mi..mi Vera ni respect tu hoja kwa hoja hapa LOL....usijali baby...am always here..
 
Mi wewe nakubishia kama Kelly, cause it feels ggod for mi..mi Vera ni respect tu hoja kwa hoja hapa LOL....usijali baby...am always here..

Okay i hear you honey!....na kwa hiyo bado unazidi kunibishia hadi hapa kuwa wanawake wote siyo sawa.....sema tuu we all look bad kutokana na matendo ya wacache...lakini ooh kinachinishangazisha wanaume wengi kutokea kulalamika about tabia za wanawake lakini hao hao ndiyo wa kwanza kupenda bad girls....wanasema ni sex compared na wale waliotulia mnasema wanabore....so which is which|?
 
Sio wanawake tu ambao wako hivyo hata wanaume pia wana tabia hizo. Hii inatokana na tabia ya mtu sio kuwa ni wanawake wote wako hivyo. wanaume nao wakipata hela wanaacha wake zao au kujihusisha na machangu au nyumba ndogo, tena ktk takwimu nadhani wanaume wanaongoza.
 
...ebana eeh msijidanganye bana,

...huyo mwanamke ndio tabia yake. Asijisingizie eti kwakuwa alipata matatizo ndio maana mamsapu aliliwa uroda...na huyo mume mtu asilegeza kidevu eti mkewe shetani alimpitia! Kupitiwa nyumbani kwake? tena kitandani kwake mwenyewe?

Lazima huyo mwanamama alikuwa anaugawa (Uroda) awali, tena anaendelea kuugawa, na ataendelea kuugawa... ndio tabia yake, wala haibadilishiki...

Jamaa either amuache, au akubali kuendelea kusaidiwa hapo kitandani kwake, na akirudi kazini kwake-'kuzuri', aendelee kujifunika shuka hiyo hiyo mkewe aliyomfutia jamaa 'maji ya uzima'...!
 
sikiliza kule amerika wanasema hairuhusiwi kuoa mke wa pili, sababu katiba ya nchi inasema hairuhusiwi kuazibiwa mara mbili kwa kosa lile lile moja yaani you are not allowed to be punished twice with the same crime
 
Haya mambo ya kucheat ni tabia ya mtu haina gender, hivyo sio wanawake wote ni cheaters na wala sio wanaume wote pia. Baadhi ya hawa wanaume na wanawake nadhani wanakuwa na pepo la ngono ndio maana utakuta mtu hata hatosheki na mke wake au mume wake.
 
You're so smart!!
 
...hakuna cha 'pepo' la ngono wala nini, ni kukosa adabu ya mwili na akili binafsi, kwa mumeo, familia, wakwe pamoja na jamii inayokuzunguka...

iweje unatongozwa..., unapanga miadi, unavua nguo, unaliwa uroda halafu ukifumwa ndio unamsingizia shetani/pepo la ngono ndilo lilokupelekea kutenda kosa via 'diminished responsibility'?

hovyo kabisa :mad:
 
Baeelezee mwanawane maana watu wanapenda sana kumsingizia pepo!!
 
Ni kweli kabisa alivyosema Mbu hakuna pepo la ngono wala nini ni mtu tu mwenyewe kushindwa kujiheshimu,na pia huyo mwanamke hiyo tabia alikuwa nayo hata kabla hajaolewa,hakuna tabia mpya iayozaliwa baada ya kuoa/kuolewa unakuta zote tu zilikuwepo,unajua mpaka huyo mama akaleta mwanaume ndani ina maana hiyo tabia ni ya siku nyingi na inawezekana kabisa hata wakati mume wake alipokua kazini mchana yeye alikuwa anajinafasi na huyo buzi wake na si kwamba siku hiyo ilitokea bahati mbaya,hiyo ni tabia yake ya siku zote,na tatizo hili liko pande zote kwa wanaume na wanawake,nionavyo hakuna sababu ya kukimbilia kuoa au kuolewa wakati unajua hutakuwa mwaminifu katika ndoa.
 
Hapo huyo kaka amchukue tu mtoto alafu limwanamke aliache liendelee kumegwa na huyo jamaa.
 
Lakini baada ya takribani wiki moja hivi baada ya tukio. Huyo kaka aliyesimamishwa kazi akarudishwa kazini. Mke naye aliposikia kuwa mme wake aliyekuwa amesimamishwa kazi amerudishwa kazini, eti akaenda kwa mume wake kumwomba msamaha kwa yaliyotokea nyumbani.

huyu dada hakuwa mke mwema. PERIOD

GM7 tuna uhakika gani kuwa huyo dada alikwenda kuomba msamaha kwa kuwa jamaa karudishwa kazini? Inawezekana kabisa alikuwa anabuy time ili jamaa hasira ziishe ndo akaombe radhi au unataka kusema baada ya kuachika alikwenda kuishi na jamaa aliyekuwa anajiexpress?
 
...ebana eeh msijidanganye bana,

...huyo mwanamke ndio tabia yake. Asijisingizie eti kwakuwa alipata matatizo ndio maana mamsapu aliliwa uroda...na huyo mume mtu asilegeza kidevu eti mkewe shetani alimpitia! Kupitiwa nyumbani kwake? tena kitandani kwake mwenyewe?

Lazima huyo mwanamama alikuwa anaugawa (Uroda) awali, tena anaendelea kuugawa, na ataendelea kuugawa... ndio tabia yake, wala haibadilishiki...

Jamaa either amuache, au akubali kuendelea kusaidiwa hapo kitandani kwake, na akirudi kazini kwake-'kuzuri', aendelee kujifunika shuka hiyo hiyo mkewe aliyomfutia jamaa 'maji ya uzima'...!

mkuu hii inaumiza roho aiseeeeeeee!
 
Hahaha sasa fikiria kama hujui vile alafu kitanda hicho hicho ulicho nunua wewe jamaa anakuja kupumnzika na kujiexpress juu dah!!!

dah komredi ni maumivu tu hata sijui kwa nini tuliumbwa na roho za kuuma hivi, nini kujiexpress hata ile kumegwa kawaida tu!
 
dah komredi ni maumivu tu hata sijui kwa nini tuliumbwa na roho za kuuma hivi, nini kujiexpress hata ile kumegwa kawaida tu!

Hahahaha wanaume tumeumbwa mateso.
Komredi hebu burudika na kibao cha msondo hicho
Kaza moyo komredi unapiga moyo konde.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=SHCmhVrPjXU&feature=related[/ame]
 
Back
Top Bottom