Kwa nini wanawake huongopeana hivi?

wigi kama helmet...hahahahahah..:)

Unajua jinsi uonavyo wewe, ni tofauti sana na mwingine! Inawezekana kabisa, huyo anayemsifia mwingine, sio kwamba anamdanganya, yeye kaona amependeza haswa, ndo maaana anaulizia linapatikana wapi!
 
Haaaaaaaa
haaaaaaaaaaaa

nilifikiri ni mimi tu ndie naonaga hawapendezi lol
 
heheee!
kuna wengine hawarekebiki unaweza kumwambia akaona unamwonea wivu so saa nyingine inabidi umpe mi sifa ajione kuwa yupo juu kumbe hamna kitu, mi ofisin kuna mdada anavaa nguo za kutokea usk kazini mchana hadi alizovaa kwenye kitchen part na send off yake anazivaa mchana kazin ukimwambia unakuwa unatafuta ugomvi so yote ya nini si bora nibaki najichekea
 
Huu uzi umenichekesha mpaka basi, eti wigi kama helmet lol, heri yangu mie naenyoaga kipara tu lol jf kuna vituko
 
Mkuu naona umetupa madongo kiaina hapo "helment na sanamu la micheln.hakika kunawanawake wanavaa ilimradi kimini alafu miguu yenyewe ni kama 2*2
 
nakubaliana na wewe! kuna vitu vitatutu migodini, kazi, pesa na ngono.we pendeza hata ungekua ka malaika hutomzingua mtu, sanasabna ka ni dem utakua unawaalika majamaa kwako.
Teh teh teh teh No further comment....
 
Huu uzi umenichekesha mpaka basi, eti wigi kama helmet lol, heri yangu mie naenyoaga kipara tu lol jf kuna vituko
Safi sana utakuwa unajiamini watu wanaonyoaga kipara wanajiamini wengine vichwa vinakuwa vinamakorongo na madimbwi.
 
Haaaaaaaahaaaaaaaaaaaanilifikiri ni mimi tu ndie naonaga hawapendezi lol
Wengine hadi wanatia huruma, ungekuwa kwenye ofisi za serikali (SU)ungekuwa unacheka sana, kuna mama zetu wa midle school wana vaa magauni ya crazy colour yanafagia barabara wakiwa wanatembea basi wanasifiana like 30 minutes ......
 
lol...

Nguli we kiboko!... Umeniacha hoi na hilo wigi kama helmet....looo siipati hyo picha.. Siku nyingine mpe na boda boda.
 
Back
Top Bottom