Kwa nini wanawake huongopeana hivi?

kuna mawigi nengine kama tenga, naona Nguli bado hajayaona

Nimeishia kucheka hadi machozi yanatoka,kwani nimerecall ambayo huwa nayaona huko mjini na mitaani.Ila na wadada wengine waache kusifia wenzao uongo,halafu nao wasifiwaji wakisifiwa wanaitika kwa madoido huku wanazungusha macho juu na kopoz kama wanaweka hilo "tenga" vizuri.Wanapoondoka unaona waliomsifia wanafinyana na kucheka!Mwambie mtu ukweli ajirekebishe jamani.
 
lol...

Nguli we kiboko!... Umeniacha hoi na hilo wigi kama helmet....looo siipati hyo picha.. Siku nyingine mpe na boda boda.

Baadhi ya Mawigi yanafunika hadi macho atapata ajali ubungo kwenye mataa

kuna mawigi nengine kama tenga, naona Nguli bado hajayaona

hahahahah nahisi nimeyaona yanakuwa na umbile la kawaida yakipigwa jua au joto kali yanavimba yanakuwa mabaunsa/ma-tenga
 
Back
Top Bottom