Walahi nakwambia ndugu mwandishi Dunia ina mambo! ooops! msomaji bana;
Wanawake wanaroga sana ''me', na kwenye familia nyingi Mashangazi ni wachawi kufuru ya kupitliza
hawataki watoto wa kaka zao wapasue kwa sababu wifi zao watawaringishia na kutanua. pia ili wasije
kosa kutumia mali ya kaka yao pindi akifa, mtu anaitwa shangazi hawa kaa nao mbali. nzuri au mbaya kaka ana mkwanja, ikitokea shangazi amekupenda sana ujue umeumia.
picha inakuwa nzuri zaidi km wao hawana elimu wala kazi, wako tayari hata kumrogea kwenye mbunye shauri ya pesa.
Na vibinti vya familia wanajua vitaolewa havito kaa. hivi vinapigwa utasa tu, au umalaya ili visioleke.
Wanaume wanalishwa mno malimbwata, hata ambayo siyo, kuna viongozi wakubwa sana wa makampuni lkn ni ma house boy wa wake zao. ila sema tu Mungu aliwapa moyo wa chuma hawasemi.
Wanaume wanarogeka kirahisi mno huna ujanja. tena kuliko wanawake hata shangazi anapotaka kukukomesha anatumia kibinti, kupitia;
1) chakula, kwa wakubwa na wadogo, house keepers wanatumika sana. unaweza gundua hii km mke anajifanya hataki kuingia jikoni kukupikia, anamuachia house girl, kila kitu afanye yeye, kutandika kitanda nk. shtuka ili likibumbuluka (hasa kwa wale walo aga kwao). aulizwe msichana wa kazi
2)papuchi, hapa hata dawa za kulevya una nyonyeshwa tu,
3)nyonyo, pia hii km hapo juu
4)na always uchawi unapitia mdomoni kwanza,
5) Siku ya harusi ina mambo mengi. bora dsm wanaenda ukumbini km huna card ya mwaliko nenda nyumbani usubiri matokeo nk
Jambo lingine ni kwamba unamgegeda mdada weee miaka nenda rudi. siku ikifika una mtema km kamasi, unaoa mwingine tena kwa kumtamkia kabisaaa, hapa lazima urogwe ukichaa, hkn kitu inasumbua bidada km shela ya harusi, na ukirogewa hapa hautapona.
Ukitajirika tu heee! uwe makini, mali zooote mkeo anazitaka, kupitia ushauri wa mama, dada na kaka, hasa Uchagani , utarogeka tu tena basi kwa hela yako mwenyewe. ilikuwepo, ipo, itakuwepo, anaamini utaoa mwingine tu ili baadaye mke mdogo agombee Mali zako pindi ukifa. sasa lazima akuwahi.
au umuwahi wewe km uko vizuri ki illuminatt
La mwisho kurithi uchawi na Uganga wa ukoo, wanaume wengi wanakataaga, wanawake wanakubaliga ndo hii inafanya mashangazi kuwa wachawi, na hawasemi siri hii.