Kwa nini wanaume wengi ni vichaa kuliko wanawake

NB; ukikataa kurithi Uganga, au tuseme ulozi aka uchawi adhabu yako ni kula majalalani. kuokota makopo. au kuwetishwa, crippled
huu ni uchunguzi wa kisayansi ya jamii uliofanywa miaka kadhaa, na kutoa mwelekeo huo.
 
Sababu
1.Wanaume wengi ndiyo watafutaji hivyo ukiwa na nyota nzuri ya kipato kuwa zezeta ni rahisi kwani wachawi na walozi huihitaji kwa ajili ya kazi zao.

2.majukumu ya familia mazito huwafanya wengi kuzidiwa na hivyo kuona suluhisho ni ulevi ambao hupelekea wengi kuwa vichaa.

3.watumiaji wengi wa madawa ya kulevya ni wanaume hivyo possibility ya kuwa vichaa ni kubwa.

4.pesa za ndagu nyingi hutafutwa na wanaume hivyo ngoma ikigoma lazima uwe kichaa tu.

5.limbwata,wanaowekewa limbwata za mapenzi ni wanaume hivyo nazo zikibuma ukichaa nje nje.

6.kurithi,ktk familia ukoo hubebwa na mwanaume hivyo kama kuna ukichaa basi hutembea kizazi chote kuwadhuru wanaume japo na wanawake waweza kupata in rarely cases.

7.matambiko,siku zote matambiko hushikiliwa na wanaume hivyo asipotii lazime dish liyumbe tu.

8.Ajali,hii husababisha mtu kuwa kichaa ikiwa ataumia sehemu ya kichwa vibaya.Wasafiri wengi ni wanaume kuliko wanawake.

9.Ukali wa wanawake kuwatesa wanaume.Kuna wanaume ambao ndoa zao ni mateso mno mtu anatamani akaishi jela kuliko kuishi na mwanamke sampuli hiyo hivyo mwanaume kuwa kichaa ni kama kumgusa mlevi.Imagine baba aliyeenda kupora pesa benki ili afungwe jela akae mbali na mkewe lakn mahakama nayo ikamfunga kifungo cha nje na kuwa asitoke nyumbani bila idhini ya mke huko marekani.

10.wezi wengi ni wanaume hivyo ikitokea akarogwa basi ukichaa ni wake.

11.Malipizi,hii hutokea ikiwa ndoa imekufa na mwanamke hataki hivyo mme hurogwa kuwa kichaa na mengineyo.

12..Mengineyo,hapa zipo sababu zisizo onekana ambazo ni chanzo cha wanaume kuwa vichaa.

Nadhani sababu ni zaidi ya hizi ila wengine watafafanua zilizosalia.
 
Sababu ni lukuki tena zakufikirika ambazo hazina utafiti wa kisayansi ila zinaonekana dhahiri
1. Mtafutaji mkubwa katika familia ni mwanaume na familia ikipata shida mtu wakwanza kuumiza kichwa na kupata msongo ni mwanaume, na huko kunaweza pelekea msongo ambao unampoteza mtu.
2. kazi nyingi hatari zinafanywa na wanaume mfano uvuvi, uchimbaji wa madini. na hatari zake ni kubwa ambazo zinawafanya wanaume hao kutumia vileo na msuba ili kutokuona hatari hizo ambako kunawapelekea udishi
3. Msongo wa mawazo. wanaume wengi wanasumbuliwa sana na msongo wa mawazo ambao unaletwa na maisha yakila siku katika familia na kijamii ambako kunapelekea vichwa kuwaka moto, pia wanaume hawawezi toa maumivu ka wanawake kwakulia
4. mahusiano. mahusiano yanawafanya wanaume wengi kuwaka vichwa hasa mitego, kulogwa baada ya kuacha mtu, tofauti na idadi ya wanawake ambao wanaweza logwa na wengi wao wa awali ambao ni wanaume.
Sababu ni nyingi sana ila zakisaikolojia ndo zinaongoza katika kuharibu akili kupelekea uchizi.
 
Kama mada inavyojieleza

Kwa muda mrefu wa maisha yangu nimekua nikikutana na vichaa, wengi wao ni wanaume

Sasa nashindwa kuelewa sababu inayosababisha kuwe na idadi kubwa ya vichaa wa kiume kuliko wa kike

Wanajamvi tujuzane sababu ipi inafanya hapa Tz kuwe na idadi kubwa ya vichaa wa kiume kuliko wa kike!!

Na mwisho nawatakia ushindi mnono timu ya taifa ya Algeria dhidi ya timu ya CCM kutoka TanzaniaView attachment 1143644View attachment 1143645View attachment 1143646View attachment 1143647
Maisha ni magumu ndio maana zinawaruka wanaume wengi nasio wanawake🤣🤣🤣🤣🤣
 
ukitaka urukwe na akili oa mdaka tonge
 
Kasome vizuri tafiti yako. Kuna vichaa wengi wa kike kuliko wa kiume.... Juzi kuna andiko limetolewa kuzungumzia hiyo kitu.
 
Hapo kwenye namba9 nimecheka kweli

Back
Top Bottom