Sio wa dar?Ukishakuwa mwanaume basi ushakuwa celebrity Dunia hii thanks God kwa kuniumba mwanaume tena wa mkoani! [emoji123] [emoji123]
Nitake radhi mkuu natokea Bariadi, Simiyu msukuma original dume la shambaSio wa dar?
Kwani Dar Kuna Nn mkuu mbona Umefura HivyoNitake radhi mkuu natokea Bariadi, Simiyu msukuma original dume la shamba
Kwani mkuu we uko wapi?...mkoani sio Musoma au Mtwara tu hata Dar nayo mkoa sema watu wanaikuza.Million D
Unataka kusemaje juu ya ambao hatuko mikoani
hili li Million dollars linafuraahi utadhani ni kosa kuwa dar, teh!Kwani Dar Kuna Nn mkuu mbona Umefura Hivyo
Kwikwikwi....Ukishakuwa mwanaume basi ushakuwa celebrity Dunia hii thanks God kwa kuniumba mwanaume tena wa mkoani! [emoji123] [emoji123]
Na watangazaji wanatoka mikoaniHayo Matangazo Yapo Dar Sanaaa...
Mambo ngoshaNitake radhi mkuu natokea Bariadi, Simiyu msukuma original dume la shamba
Poa ValentinaMambo ngosha