Kwa nini wanasiasa majirani hawapendani?

Kwa nini wanasiasa majirani hawapendani?

Kasheshe

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2007
Posts
4,694
Reaction score
793
Majirani wafuatao walikuwa hawapikiki kwenye chungu kimoja

1. C. D. Msuya vs C. Y. Mgonja [RIP]
2. C. D. Msuya vs A.L. Mrema
3. Membe vs Muthihiri
3. Rostam vs Sitta

Naombeni msaada maana kwenye kutopatana huko usually tunaambia ni kwa sababu zingine... lakini mimi nadhani kuna zaidi ya hayo!!!
 
Nabii hathaminiwi kwao
 
Back
Top Bottom