Kwa nini waliotemwa uwaziri wapokelewe kwa maandamano?

May 7, 2012
18
4
Jamani nashindwa kuelewa mantiki hasa ya wabunge kupokelewa kwa maandamano pindi warudipo majimboni mwao baada ya kutemwa uwaziri.Au ndiyo staili mpya ya kusafishana?
 
Hawajaanza hawa kuanzia EL, mzee wa VIJISENTI nao ilikuwa hivyo, wana,obilise watu wao kwa kuwapa pesa ili waandae mambo yao.
 
Hawajaanza hawa kuanzia EL, mzee wa VIJISENTI nao ilikuwa hivyo, wana,obilise watu wao kwa kuwapa pesa ili waandae mambo yao.

Nadhani njaa inachangia kwa sehemu kubwa jambo hili, kwani ukichunguza wanao hamasisha jambo hilo huwa wamekatiwa vijisenti kidogo.
 
Back
Top Bottom