Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua je hukukumeingiliwa na wakwale??Au hawa watu ni warika gani hawaogopi UKIMWI??:angry:
Hivi umejaribu kuzichunguza threads zako mwenyewe?Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua je hukukumeingiliwa na wakwale??Au hawa watu ni warika gani hawaogopi UKIMWI??:angry:
hahaha PJ bana...usifanye akaenda zidelete then akarudi hapa!:angry:Hivi umejaribu kuzichunguza threads zako mwenyewe?
Nipe jibu kabla sijazibandika hapa moja baada ya nyingine!
Si ndo zinashabikiwa?! angalia hata idadi za post ya jukwaa hili...!!Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua je hukukumeingiliwa na wakwale??Au hawa watu ni warika gani hawaogopi UKIMWI??:angry:
Moja hii hapa!
HUYU-DEMU.
Mkuu, siyo mambo ya UKWARE kama unavyoita...MAPENZI YANAIFANYA DUNIA HII IZUNGUKE SAWIA KWENYE MHIMILI WAKE..
Narudi!!subiri