KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Nimekuwa nikifuatilia thread za MMU nikakuta nyingi ni za wapya nimeshutuka!!Utakuta zakutaka wake za watu,kutaka mimama,Wanaume lakini waliooa,wanataka mwanamke mwenye uwezo sasa nashindwa kujua je hukukumeingiliwa na wakwale??Au hawa watu ni warika gani hawaogopi UKIMWI??:angry: