Kwa nn wakenya wengi wanapenda Umbea na udaku kwenye forum kuliko kuleta mada zenye hoja za msingi
Kwa hili wakenya unawasingizia,nimeishi kenya nimeishi tz nadhani kwa afrika mashariki Tz tunabeba bendera kwa sifa hizo, nenda insta ndio utajua
Kenya internet ni ghali sana, kwahiyo imesaidia sana kuwafanya wakenya wasiwe busy na mitandao, hapa kwetu fb whataap bure,net kawaida pia rahisi sana watu badala kufanya kazi wanakesha kupiga umbea tu, kenya hakuna mambo haya ya umbea unawasingiziaMi nimeishi Kenya kwa kweli nilifurahia sana no majungu, no umbeya, no kutafutana watu wako busy kutafuta chapaa. Hakuna muda wa umbeya sijui nani kavaa nini kama hapa kwetu
Kenya internet ni ghali sana, kwahiyo imesaidia sana kuwafanya wakenya wasiwe busy na mitandao, hapa kwetu fb whataap bure,net kawaida pia rahisi sana watu badala kufanya kazi wanakesha kupiga umbea tu, kenya hakuna mambo haya ya umbea unawasingizia
Says a Tanzanian on a Kenyan forumKwa nn wakenya wengi wanapenda Umbea na udaku kwenye forum kuliko kuleta mada zenye hoja za msingi
Kuliko vile wa TZ wamekita mizizi na kukolea kwenye udini?Ushabiki wa ukabila unawasumbua