SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Mimi nina redio yangu wakati mwingine huwa inalia vibaya lakini nikiishika tu kwa mikono yangu ina sema vizuri nikiacha kuishika inaanza kulia vibaya .Sasa mimi najiuliza inakuwaje .Nikiacha kuishika tu inaanza kusema vibaya .Kwa nini wakati mwingine hali hii hutokea.