Kwanini Waingereza wanakubali kuongozwa na Ukoo mmoja tu, Ufalme?

Siyo kweli, Malkia/Ufalme ni Mkuu na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi ya Uingereza
Malikia wa uingereza ana asasi zake.
Ana vituo vya kulelea watoto yatima na walemavu plus wazee!
Hawa wanapata matunzo bora na kupewa mishahara bila kazi.
 
Hivi kwa nini hawafanyi Mapinduzi kama Ufaransa, Ujerumani au nchi nyingine za Ulaya na kuondoa Ufalme? Kwa nini wanakubali kuongozwa na Ufalme ambao kwanza ni foreigners hapo Visiwani?
Wakitaka kumpindua wale majemedali wa jeshi wanapewa visichana vya ukoo wa kifalme baaaaaasi. wakila uloda wanasitisha zoezi la kupinduliwa.
 
Malkia yupo kama pambo tu.
Shughuli zote kila kitu ni waziri mkuu.
Mfano km israel ushamskia rais wake?

Never under estimate the power of Queen, yeye ndio kiongozi mkuu, amirijeshi mkuu wa nchi ambazo ziko chini yake, kuanzia Wales, Scotland, England, Ireland(United kingdom) vile vile kuna nchi nyingine ziko chini ambako ameacha magovernor wake kama ilivyokuwa kwa tanganyika kipindi cha kabla ya uhuru. Yeye ndio mkuu wa commonwealthy.
Isitoshe yeye ndio kiongozi wa
*Mataifa ambayo hayana rais, yana waziri mkuu tu, elewa kuna Queen/King bado wanamtumikia.
 
Hivi kwa nini hawafanyi Mapinduzi kama Ufaransa, Ujerumani au nchi nyingine za Ulaya na kuondoa Ufalme? Kwa nini wanakubali kuongozwa na Ufalme ambao kwanza ni foreigners hapo Visiwani?
Usilete story za kutunga ,eti siyo waingereza ,yaani umesoma kitabu kilichoandikwa na wanaopinga ufalme wa UK.
Halafu ww ni mbumbumbu mkubwa sana,malkia ana jeshi lake,royal army na jeshi la UK pia,hana sauti kama magufuli Tanzania,wenye sauti ni waingereza wote kupitia kwa waziri mkuu waliyemchagua kidemokrasia,sijui nikuambieje wewe pimbi uelewe.
 
Mimi na wewe nani mbumbu? Amiri Jeshi Mkuu wa jeshi la Uingereza ni Ufalme wa Uingereza, kwa maana nyingine Uingereza haiwezi kwenda vita bila ya Ufalame kukubali/kuamua, isitoshe Ufalme wa Uingereza ndiyo Mkuu wa nchi ya Uingereza na Ufalme wa Uingereza unaweza kuivunja Serikali muda wowote ule!
 
Hivi kwa nini hawafanyi Mapinduzi kama Ufaransa, Ujerumani au nchi nyingine za Ulaya na kuondoa Ufalme? Kwa nini wanakubali kuongozwa na Ufalme ambao kwanza ni foreigners hapo Visiwani?
Wafanye mapinduzi ya nini wakati wameridhika na jinsi taifa lao linavyoongozwa uchumi uko juu,huduma za afya ziko juu,ustawi wa jamii uko juu pamoja na huduma za afya ziko juu na ni bure kwa watu wa kipato cha chini, mbona nyiyi hampindui wakati hayo yote niliyoyaorodhesha yako kiwango cha chini kabisa.
 
Waingereza hapo ndo wanaponichoshaga, kukubali kuongozwa na ukoo mmoja zaidi ya miaka 1500 c ujinga huo
 
Kama watani zetu CHADEMA wao mwenyekiti wao ni Mbowe tu. Yaani hakuna hata Demokrasia kama jina la chama kinavyojiita.. Ukitaka kuitwa msaliti adui mkubwa wa CHADEMA ebu jaribu kugombea uenyekiti. Dunia hii bana watu wanajimilikisha chama, nchi hadi na mali zake..
Hahahaha
Haki ya Mola wangu walahi
 
Back
Top Bottom