Kwa nini wahindi wa trl hawafukuzwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini wahindi wa trl hawafukuzwi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by kilema, Oct 30, 2009.

 1. kilema

  kilema Member

  #1
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  THE GOVERNMENT SHOULD REVOKE THIS CONTRACT

  Agreement may be terminated at any time:

  (a) By either part, by way of notice of termination on the basis of default,
  (b) by either part, through proof of force majeure pursuant to clause
  (c) by either part by way of notice of termination for the change of law
  (d) by either part by way of notice of termination for expropriation
  (e) by agreement between the parties

  Circumstance which constitute default by CONCESSIONAIRE

  a. If at any time the concession payment, or any portion thereof, payable by the CONCESSIONAIRE is in arrears and unpaid for three month. (IMEVUNJWA)
  b. If CONCESSIONAIRE cease conducting Railway operations or providing railway services r railway passenger services for period of 14 days or more (IMEVUNJWA KAZIUA LOCOMOTIVES NA MABEHEWA YA KUKODI YASITEMBEE NA KUKAIDI AMRI YA WAZIRI)
  c. If at any time material reduction of services takes place. (IMEVUNJWA. HUDUMA ZIKO CHINI KWA ASILIMIA 100 TOKA AKABIDHIWE SHIRIKA HILI 2007 ZILIBEBWA WASTANI TANI 100,000 KWA MWEZI SASA NI TANI 40,000 KWA MWEZI)
  d.
  e. CONCESSIONAIRE declared insolvent or bankrupt by court of competent jurisdiction. (IMEVUNJWA . WAMEFULIA MSHAHARA WANALIPIWA NA SERIKALI NA KAMPUNI ZA MAFUTA ZIMEKOMA KUWAPA MAFUTA WANANUNUA KWA GELENI)
  f. If CONCESSIONAIRE assigns the agreement to any other entity without approval of RAHCO (HII BADO)
  g. If CONCESSIONAIRE fails to meet standards and Minimum requirements of schedule 4 (IMEVUNJWA TENA SANA HAWAJAFANYA LOLOTE KUHUSU NJIA YA RELI . HATA ZILE dollA 14 MIL ZA IFC HAZIJULIKANI ZIMEFANYA NINI?)

  Consequences of Default

  i RAHCO is entitled to claim against CONCESSIONAIRE and Bond provider as liquidated damages as per the performance bond (schedule 12)
  ii RAHCO to purchase all moveable assets at a price lesser than the then residual value of fair Market value. RAHCO have the right to use these assets pending settlement agreement or arbitration of the exact price.
  iii CONCESSIONAIRE is prohibited from claiming indemnity from RAHCO


  FORCE MAJEURE

  In case the termination is caused by Force Majeure CONCESSIONAIRE will have no claim against RAHCO.

  Hawa jamaa wameipa Serikali Notice ya miezi miwili kuishia NOV 9 kwa wataondoka kwa vile

  • Serikali haijalipia loco walizokodisha 10Bil
  • Sumatra imezuia mabehewa yao ambayo mabovu na chini ya kiwango
  • Migogoro ya wafanyakazi isiyoisha


  WANAZUONI MSAIDIENI KAWAMBWA
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280

  wale ni wahindi magirini tu,
  ile kampuni wamejiuzia wajanja wachache am,bao ni wazawa na wanajulikana kabisa, ila kwa sababu za kimaslahi, wakawaweka wadosi mstari wa mbele.
  hivi kwa ufahamu wako ni nchi gani yenye uwezo wa kuvumilia huu upumbavu wa huyu muwekezaji wa kigeni?
  hakika hamna nchi hata moja dunia ambayo muwekezaji wa namna hii ana nafasi.
  nchi yetu ya maziwa na asali inaliwa na mbwa mwitu,
  na sisi tunaambulia kushangilia ulaji huo
   
 3. s

  shabanimzungu Senior Member

  #3
  Nov 1, 2009
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the whole isse of TRL was engineered by one ANDY CHANDE he brought these indians here and with his freemason mkapa sold our country.......why we do not realze this ?
  Andy is jnown for this and he is hiding as a "'savioiur'" while tz loses out.............he is the one who should be investgated for his role!!!!!!!!!!!!!!!wake up now all............
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hii kampuni wamejiuzia hawa hawa the so called mafisadi, wale wahindi pale ni kiini macho tu, ipo siku tutakuja jua ukweli
   
Loading...