Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

Tundu ni mwehu hajui anachoongea. Anatafuta umaarufu wa kunya mavi makubwa.

kwa hayo waonyesha wewe ndiyo ulikuwa ukijibu mwalimu darasani ETC End of Thinking Capacity...mavi kweli wewe katika uyajuayo mavi ndiyo kitu cha kutafutia umaarufu....aksante sana kwa kwenda hatua mbele kifikra
:spy::A S embarassed:
 
Inadhihirisha wazi jinsi ubongo wako ulivyojaa hayo mavi makubwa unayo yazungumzia!!!!!
Yaani umeona jibu la hoja ndio hilo hapo juu?
 
Juma Hajji Duni ni duni kifikra kama lilivyo jina lake.....mwaka jana kipindi cha uchaguzi kabla cuf hawajafunga ndoa na ccm duni alisimama jukwaani pale jangwani na kusema pia kutoa ushahidi jinsi ccm walivyoiba kura na majina wa wajumbe alitaja!

leo keshaonja tende na halua za ikulu ya znz, anaona wale wanaosema ukweli ambao huenda ukawaharibia raha za ikulu sasa wanaonekana ni wabaya kupindukia!

ila yote yatafika pahala pake wananchi watapambanua ukweli.
 
Kwavile anaijua sheria zaidi yao na anawaumbua live live bila kuwaficha na kuwadhihirishia ukilaza wao
 
Kipindi cha dakika 45
kinachorushwa na ITV
naendelea kushuhudia
mashambulizi kwa Tundu
Lissu badala ya
kushambulia hoja alizotoa
Tundu
Lissu, je tatizo ni Tundu
Lissu au hoja alizotoa
Tundu Lissu? Na kwa
nini mashambulizi yasiwe
kwenye hoja yawe kwa
mtu?
Au Labda hii ni aina mpya
ya kujenga ukomavu wa
kidemokrasia? au ina
dhihirisha upofu wa
kuendelea kuto kuona
umakini na nguvu ya hoja
na
matokeo yake ni ushuhuda
wa hoja za nguvu?!
Next message
 
Mimi nadhani wazanzibar hawaelewi au wanajidanganya kuwa sie wabara hatuelewi, hivi tunapokaa kimya dhidi ya tanganyika yetu wanadhani sie ni wajinga au tumeisahau tanganyika yetu? Juu ya duni haji, anadhihirisha uwezo wake ulvyokuwa dhaifu pia mdogo wa kuchanganua mambo pia hoja, alikuwa na opportunity ya suala ili hot, natumai angekuwa sahihi sana kama angeweka mezani hoja za Lisu na kuisambaratisha moja baada ya nyingine ingawa ilo haliwezi. Na si kumshambulia mtu, aaaaah uyu bwana inshort ameamua kuweka hadharani umbumbumbu wake, ati ni wziri uko zamzibar, ndo ata nchi zetu haziwezi kupiga hatua mbele kwa kutoa madaraka kwa hawa masabuli
 
Hivi hata Zenji wanataka kutokea migongoni mwetu? acheni utani, hivi leo hii tukisema eti sawa kwa sawa, maana yake katika mikoa 29, wakuu wa mikoa 15 au 14 watoke zanzibar siyo? kama tuna wizara 20 mawaziri 10 na manaibu kumi, makatibu wakuu 10 watoke Zenji?.................

Huu ni utani, kama ni hiyo zenji yao wachukue bana, maana hawa jamaa wanachotaka ni haki sawa
 
kuna umuhimu wa hawa ITV kuwaalika hata viongozi wa upinzani kama TL ili kuliweka sawa hili maana kuna upotoshaji mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom