Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

Nyinyi vipofu, vizuwi pale anapozungumza Tundu Lisu juu ya Zanzibar na watu wake. Na akitokezea mwengine kuchukuwa mawazo yake naye atajibiwa kama anavyo jibiwa yeye. Pinda alijaribu akaona joto ya Zanzibar. Kwa hiyo musidhani kama Tindu ni mtu mwenye akili timamu kwetu sisi ni mbabaishaji na mdini...
 
mpaka vipite vizazi vitano ndipo utumwa utakapo isha ndani ya damu ya kina Duni waliopelekwa Zanzibar kama watumwa; vinginevyo wataendelea kuwa watwana wa kuwatumikia mabwana zao. Juma duni ni janga la kitaifa anapaswa aogopwe kama ukoma!
 
Mimi nadhani wazanzibar hawaelewi au wanajidanganya kuwa sie wabara hatuelewi, hivi tunapokaa kimya dhidi ya tanganyika yetu wanadhani sie ni wajinga au tumeisahau tanganyika yetu?? Juu ya duni haji, anadhihirisha uwezo wake ulvyokuwa dhaifu pia mdogo wa kuchanganua mambo pia hoja, alikuwa na opportunity ya suala ili hot, natumai angekuwa sahihi sana kama angeweka mezani hoja za lisu na kuisambaratisha moja baada ya nyingine ingawa ilo haliwezi, na si kumshambulia mtu, aaaaah uyu bwana inshort ameamua kuweka hadharani umbumbumbu wake, ati ni wziri uko zamzibar, ndo ata nchi zetu haziwezi kupiga hatua mbele kwa kutoa madaraka kwa hawa masabuli
wewe kweli abunuwasi we unamjua juma duni au umemjua jana?tatizo lenu mnaparamia siasa hamzijui,huyo babu juma anaijua siasa kabla wewe hujazaliwa,mpk nyerere alikua anamuheshimu juma duni sembuse wewe mburumatari,juma duni ndie muanzilishi wa harakati za kudai mageuzi tanzania.kama huna la kusema kaa kimya mkuu.
 
Juma Duni Haji hana qualifications za kumhoji Tundu Lissu!
tundu lisu wako kajifunza siasa 2009,juma duni yuko ktk siasa kwa miaka 50 sasa,nenda kawaombe Itv wawakutanishe duni na lisu uone aibu itakayowapata cdm,kumbuka jussa alivyomuaibisha marando,bila kusahau mbowe alivyogaragazwa na hamad rashid,cdm siasa mmeanza juzi hao wa cuf siasa walizianza kabla ya uhuru.
 
wewe kweli abunuwasi we unamjua juma duni au umemjua jana?tatizo lenu mnaparamia siasa hamzijui,huyo babu juma anaijua siasa kabla wewe hujazaliwa,mpk nyerere alikua anamuheshimu juma duni sembuse wewe mburumatari,juma duni ndie muanzilishi wa harakati za kudai mageuzi tanzania.kama huna la kusema kaa kimya mkuu.

Mkuu kuheshimiwa na Nyerere hakuuna maana uko right. Nyerere aliwahi hata kumuheshimu Makamba. Ni vizuri tukijaribu kujega hoja. Kuna hoja mbili zinazozunguka kuhusu muungano, ya kwanza ni kwamba Muungano ni tatizo na wazanzibari hawautaki tena, kwahiyo wanataka wajitoe kwa kuwa wabara wanawakwambisha kuomba misaada kwa waarabu na kuna mafuta wanataka wayatumie peke yao bila wabara. Hoja ya pili ni kuwa watu wa bara wameanza kuongea kuhusu kutoutaka Muungano kwa kuhisi kuwa wazanzibari wajiona kama wanalazimishwa kuwa kwenye muungano.

Sijui ni nani anaeleza ukweli intelligently kuhusu msingi huu. Duni au Lissu. Lakini walau hawa si watu wa siasa za mipasho, wana make sense.

Duni si mwanzilishi wa siasa za Mageuzi Tanzania. Nakumbuka alikuwepo Mzee mmoja anaitwa Zuberi Mtemvu, Abdularaham Mohamed Babu, somebody Sarawatt hawa ndio unaweza kuwaita waanzilishi wa mageuzi Tanzania. Sijui wakati wao wanafanya harakati za Mageuzi Haji Duni alikuwa na umri gani.
 
tundu lisu wako kajifunza siasa 2009,juma duni yuko ktk siasa kwa miaka 50 sasa,nenda kawaombe Itv wawakutanishe duni na lisu uone aibu itakayowapata cdm,kumbuka jussa alivyomuaibisha marando,bila kusahau mbowe alivyogaragazwa na hamad rashid,cdm siasa mmeanza juzi hao wa cuf siasa walizianza kabla ya uhuru.

Nakushangaa sana Mwera nafikiri uko above 65yrs kama sio kiumri basi kiakili pole sana!
Tunazozikataa ni siasa na mitazamo iliyopitwa na wakati.
Kwanza lilikuwa dhumuni kuu la kuwepo muungano wa lazima kwa wakati ule na bado unafikiri ni relevant kwa wakati huu bila kuadopt vigezo vipya? Ukilijibu hili kwa kulifanyia kazi nitakuflush back system yako, best regard n wshing you the best
 
Hahahahaha vibaraka mwachekesha sana kwa siasa ukianza kitambo na aliyeanza juzi kipi mnazidiana tuwe wakweli jamani wengi wa viongozi wa cuf na ccm walikuwa kwenye chama kimoja.sasa mfumo huu wa vyama vingi hauna mzoefu yupi alizaliwa toka uhuru ni kupangili sera na hoja zako basi.
 
wewe kweli abunuwasi we unamjua juma duni au umemjua jana?tatizo lenu mnaparamia siasa hamzijui,huyo babu juma anaijua siasa kabla wewe hujazaliwa,mpk nyerere alikua anamuheshimu juma duni sembuse wewe mburumatari,juma duni ndie muanzilishi wa harakati za kudai mageuzi tanzania.kama huna la kusema kaa kimya mkuu.

Kuijua siasa kungedhihirika katika kujibu hoja...tofauti kabisa na huyu jamaa alivyokuwa anaongea..Labda tuseme basi anapoteza uwezo wake wa kupambanua mambo kutokana na uzee. Kumbuka kuna vichaa ambao walikuwa na performance nzuri kiakili.. so hata huyu mzee uzoefu wake wa siasa unamfanya awe mwehu na kuropokaropoka tu!
 
zamani nilikuwa nasikia duni haji ni kichwa sana, lakini jana alishindwa kudhihirisha hilo, yy anampongeza jk na kusema mchakato hauna shida huku jk anakiri kuna mambo ya kurekebisha. hivi hawa mawaziri wa afya wa tz wana nini?
 
Wabunge hawamchukii TL ila baadhi ya wabunge wasio jiamini kama Mama Kiroboto na wasio kuwa na akili za kutosha, wanamuogopa sana hata kujikuta wanamtukana wakidhani ndyo kujibu hoja anazoleta! Tundu Lissu ni tunu kwa Watanzania na kwa wale mnaobisha au msiotaka kukubaliana na ukweli huu, Watch this place!
 
tatizo la watanzania tunawalaumu wa wazanzibari kama ndio walio ifuta tanganyika, badala ya kumlaumu nyerere aliyeua tanganyika, karume hakukubali kuua zanzibar yake, kwa hiyo lawama muelekezeeni nyerere ndie aliye tufikisha hapa.
 
nilisikitika sana siku ya mjadala wa katiba ITV bwana mmoja wa Zanzibar alivoambiwa muda wake wa kutoa hoja umeisha akaongea mbele ya mic kwamba halafu nyie watu wa bara ndo mana hatuwapendi sana,aaaaaaaaaaaaaarrrrrrrgggggggggggggghhhhhhhh
 
tundu lisu wako kajifunza siasa 2009,juma duni yuko ktk siasa kwa miaka 50 sasa,nenda kawaombe Itv wawakutanishe duni na lisu uone aibu itakayowapata cdm,kumbuka jussa alivyomuaibisha marando,bila kusahau mbowe alivyogaragazwa na hamad rashid,cdm siasa mmeanza juzi hao wa cuf siasa walizianza kabla ya uhuru.

kwa hiyo kashazeeka na you cant teach an old dog new tricks!
 
wewe kweli abunuwasi we unamjua juma duni au umemjua jana?tatizo lenu mnaparamia siasa hamzijui,huyo babu juma anaijua siasa kabla wewe hujazaliwa,mpk nyerere alikua anamuheshimu juma duni sembuse wewe mburumatari,juma duni ndie muanzilishi wa harakati za kudai mageuzi tanzania.kama huna la kusema kaa kimya mkuu.

Wewe ndio Abunuwasi sasa maana hujasema kitu cha maana hapo,kaa kimya.
 
nilisikitika sana siku ya mjadala wa katiba ITV bwana mmoja wa Zanzibar alivoambiwa muda wake wa kutoa hoja umeisha akaongea mbele ya mic kwamba halafu nyie watu wa bara ndo mana hatuwapendi sana,aaaaaaaaaaaaaarrrrrrrgggggggggggggghhhhhhhh

Mikatabafeki, hata mimi hii sentensi ilinishangaza sana, nikajiuliza yule bwana katumwa atoe ujumbe kutoka visiwani au ya kwake binafsi? nina wasiwasi na huko tunakoelekea na huu muungano, something has to be done.
 
Nilimsikia anamuattack mtu badala ya kujibu hoja. Marekebisho ya katiba ya zenj yalitakiwa kwanza yaanzie kwenye kufanya mabadiliko kwenye katiba ya JMT hilo halina ubishi. Hebu fikiri kidogo katiba ya JMT inasema kuna SMZ wakati kuna SUK pia kuna Wazirikiongozi wakati sasahv hicho cheo hakipo. Tulitegemea angefafanua mambo haya lakini wapi! Tusiwe watu wa bora kuishi inabidi tupiganie maisha bora kwa kuweka kila kitu in order sio 'bora liende' hatuwezi kufika kama mambo hayata kuwa katika mtiririko unaoeleweka, tafadhari tufikirishe akili zetu jamani.
 
TL anasema ukweli siku zote na kama inavyojulikana hakuna kidonge kichungu kama ukweli....
 
Tundu Lisu ni shujaa wa kisiasa kwa sasa, hii inatokana na ukweli kwamba hoja zilizokuwa zikifichwafichwa siku zote na wanasiasa uchwara wa ccm ameziweka hadharani.Watu walikuwa wanaogopa kuitaja Zanzibar kwa mambo amboyo ni dhahiri kabisa kwamba hayaendani na muungano lakini yeye ameyataja.Wataendelea kumuogopa kwa kuwa wanahemea matumbo na kufikiri kimasaburisaburi.
 
Nyinyi vipofu, vizuwi pale anapozungumza Tundu Lisu juu ya Zanzibar na watu wake. Na akitokezea mwengine kuchukuwa mawazo yake naye atajibiwa kama anavyo jibiwa yeye. Pinda alijaribu akaona joto ya Zanzibar. Kwa hiyo musidhani kama Tindu ni mtu mwenye akili timamu kwetu sisi ni mbabaishaji na mdini...
WaZanzibari ni kama mtoto aliyedekezwa. Akisemwa kidogo badala ya kusikiliza linalosemwa anapiga mayowe kwa nini amesemwa. Ingekuwa mimi ningewaachia ka - stamp kenu mnakoita nchi tuone nani ataathrika zaidi.
 
Back
Top Bottom