Kwa nini Waarabu wanachinja wenzao

Kwa nini Waarabu wanachinja wenzao

mbinde

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
801
Reaction score
652
Nimeona clip za video nyingi Waarabu wakiwachinja binadamu wenzao lakini nimeshindwa jua sababu ni nini,
Naomba tujuzane chanzo!
 
Na watanzania nao wanawaua watanzania wenzao(maalbino).
 
Mauwaji ni mauwaji tu iwe albino au uchinjaji wanadam.

Huu wehu na ukichaa unasambaa taratibu duniani.

Tunakoelekea ni majanga na maafa zaidi.
 
Mkuu usijumlishe !! Ona wandugu zetu hapo Sauzi.... tuliyowagombania huru wao Leo wanatubagua !!
Mamia ya Waafrika wafukuzwa Afrika Kusini<!-- google_ad_section_end -->
<!-- google_ad_section_start -->
633x356


OVER a thousand immigrants in South Africa have fled their homes following a series of violent attacks by locals in the eastern port city of Durban, police said on Thursday.


 
Wanajamvi watakasema basi babu zetu walichinjwa Sana kipindi cha slave trade, maana twasikia tu black America na si black Arabu maana wao ndo walikua wakongwe kwa biashra hiyo ya utumwa.
 
Amorbwoy, IPO hivi historia ya wazungu kunyonga inaanzia karne ya 200BC kwenye kitu kinaitwa court of Hammurabi hawa jamaa walikuwa na sheria Kali Sana yaani ukiua lazima nawe uwawe nk,

Kutotka hapo vizazi hadi vizazi vimekuwa vikitumia hi sheria, na ndomàana walipo tutawala wakaingiza sheria yao ya kunyongwa ambayo IPO mpka sasa.,

Hiyo kwa wazungu je kwa waarabu ni nini chanzo cha kuchinja wenzao?
 
Nasikia chanzo cha kuuwa maalbino ni dini zetu za asili uchawi et kweli?
 
Mbona hushangai wanavyochinjana Kiteto, na Mvomero, wakulima na wamaasai. Na ole wenu Lowassa awe Rais, wamaasai watapata kiburi zaidi na wataendelea kuchinja wakulima wote TZ mpaka waishe.
 
Mwarabu akichinja mmoja ujuwe wamemkamata baada ya wao kuuliwa kwa midege ya kivita kwa maelfu, hivi ukimkamata mtu aliyekuulia ndugu zako, wazee wako, rafiki zako, watoto zako, dada zako, mama zako kwa maelfu, unamfanya nini?

Ikiwa leo anaekuibia simu tu unamchoma moto mzima mzima. Fikiri.

 
Nimeona clip za video nyingi Waarabu wakiwachinja binadamu wenzao lakini nimeshindwa jua sababu ni nini,
Naomba tujuzane chanzo!
Mpendwa Mbinde, Suala lako zuri na muhimu kulitafakari ili upate jibu sahihi.... Hakuna mtu hapa duniani anapenda kuona damu ya binaadamu mwenzie ikimwagika!! lakini mantik nyingi zinapelekesha ktk maovu hayo ya kumwaga damu!!

yafuatayo yanasababisha uhasama na ukatili :- Hiyana, Usaliti, Fitina za rasilimali ,Visasi , nk... sasa kwakuwa huko nchi zilizokumbwa na vurugu na upotefu wa sheria na nidhamu. Makundi ya watu yamechukuwa utawala na sheria mikononi mwao !! Baada ya kuandikiziwa fitina juu ya Rasilimali na utajiri wa ardhi zao.!!
 
Nimeona clip za video nyingi Waarabu wakiwachinja binadamu wenzao lakini nimeshindwa jua sababu ni nini,
Naomba tujuzane chanzo!

Siyo kuchinja tu pia kula nyama ya mkeo unaruhusiwa.
 
Siyo kuchinja tu pia kula nyama ya mkeo unaruhusiwa.
Mkuu ona hiyo ya kwetu...
Wa South africa ni watu katili kuliko mnavyodhani.<!-- google_ad_section_end -->
<!-- google_ad_section_start -->Nakumbuka miaka ya nyuma wakati nahangaika na maisha jijini Dar niliamua kuzamia kwenda South africa na wenzangu wawili,sipendi kuyaeleza mateso tuliyopata ila cha moto tulikiona,wiki moja kabla hatujakamatwa na kurudishwa nyumbani lilitokea tukio ambalo hadi leo limebaki kuwa kumbukumbu ya maisha yangu juu ya hawa watu,rafiki yangu Ali niliyezamia naye alichomwa kisu mara 10 huku nikishuhudia kwa macho yangu ktk ufukwe wa bahari Durban,baada ya kukutwa na jamaa akiongea na girlfriend wake,sikuwa na uwezo wa kumsaidia maana muuaji alikuwa akimshambulia huku kashika bastola,Ali alifariki,nimekuja huku migodini na kukuta wa south wengi wanafanya kazi kama expatriates,wameshawatandika mimba zaidi ya mabinti wanane mcharuko na kisha kuwatelekeza na kukimbia,mmoja ni binti mapepe mdogo tu ambaye hakuwa ametulia sasa kaachiwa mtoto na jamaa kukimbia, yeye na mtoto wanatunzwa na shemeji yake,kauharibu usichana wake hana ramani tena,kwa yeyote aliyewahi kukaa south atakubaliana nami kuwa hawa jamaa hawana huruma.<!-- google_ad_section_end -->
 
Duuuuh south Africa haifaiii in short

Saiz lazma wajifunze cz kuna nch nyng za Africa kama msumbiji,kenya,nigeria ,zilikiwa znawasav sana wasouth ila kwa saiz kwenye hzo nch wasouth wote wamefukizwa ikiwemo mozambiq imewafukuzaa wasouth went sana nnchn humoo kutokanaa na mamb ya ugantarism yanayotokeaa south huko

Hiii hatare waafrica xx kaxx 2nafanyiana ualifu 2tafka kweli hata wazngu watakuwa wana2shangaaa kwa hii hari...
 
Back
Top Bottom