Kwa nini Waafrika, Maghorofa ni maendeleo?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,324
Reaction score
15,005
Hivi ni kwa nini sisi Waafrika (wengi) hudhani kwamba mji wetu kuwa na Maghorofa mengi na Marefu ndio Maendeleo? Kwa mfano ni kawaida sana kukuta Mwafrika akifurahia kuona Jengo kubwa lenye Ghrorofa labda 50 likijengwa kwenye mji wake ingawaje hilo Jengo haliwezi kumsaidia yeye au ndugu yake yoyote kitu chochote, yaani kwanza kama likifunguliwa hata kuonekana karibu na hilo jengo Hatoruhusiwa atakamatwa na walinzi, sasa ni Kwa nini huwa tunaona Huo Ufahari kuwa na hilo Jengo?

Kuna watu hasa JF huwa wanapiga mapicha ya mavila yanayojengwa na Wahindi na Wazungu halafu kuja kusifia, ona Masaki mavilaa ya ukweli, lkn ukweli ni kwamba hayo mavila hayana faida yoyote kwake Si ajabu mwenyewe anaishi Sinza kijiweni!
Kuna siku wengine walikuwa wamesimama wanasifu msafara wa JK kwamba ni babu kubwa yaani ma BMW matupu, sasa BMW za JK zinakusaidia nini?

S
asa ni kwanini tuko hivi?
Je, IQ ndogo ni ya kulaumu?
 
Endelea kuuliza ukipata jibunistue napiga kahawa hapa
 
kwa sababu hatujazoea ndio sababu kuu
 
Tumuulize na rais wetu mpendwa JK manake naye anaamini foleni (na mavila of course) ndiyo maendeleo
 
Ni ukweli maghorofa Ni maendeleo,kwanza upendezesha mji. Kuna kitu kinaitwa space economy,unapojenga ghorofa unawezesha watu wengi,au ofisi nyingi au taasisi kuwa mahali pamoja,na ivo mteja anazunguka kidogo toka ofisi mpaka ofisi akilinda mafuta na wakatu. Huduma za maji na umeme huwafikia wengi kwa terminal chache,ghorofa 40 hupata maji toka central pipe moja,lakini zingesambazwa gharama ya kupeleka maji nyumba arobaini Ni gharama kubwa,ivo pesa hizo zinazobaki zaweza kutumikia mambo mengine
 
Kiukweli idea yake so tofauti sana na vijiji vya ujamaa ya mwl nyerere
 
Hivi ni kwa nini sisi Waafrika (wengi) hudhani kwamba mji wetu kuwa na Maghorofa mengi na Marefu ndio Maendeleo? Kwa mfano ni kawaida sana kukuta Mwafrika akifurahia kuona Jengo kubwa lenye Ghrorofa labda 50 likijengwa kwenye mji wake ingawaje hilo Jengo haliwezi kumsaidia yeye au ndugu yake yoyote kitu chochote, yaani kwanza kama likifunguliwa hata kuonekana karibu na hilo jengo Hatoruhusiwa atakamatwa na walinzi, sasa ni Kwa nini huwa tunaona Huo Ufahari kuwa na hilo Jengo?

Kuna watu hasa JF huwa wanapiga mapicha ya mavila yanayojengwa na Wahindi na Wazungu halafu kuja kusifia, ona Masaki mavilaa ya ukweli, lkn ukweli ni kwamba hayo mavila hayana faida yoyote kwake Si ajabu mwenyewe anaishi Sinza kijiweni!
Kuna siku wengine walikuwa wamesimama wanasifu msafara wa JK kwamba ni babu kubwa yaani ma BMWmatupu, sasa BMW za JK zinakusaidia nini?

S
asa ni kwanini tuko hivi?
Je, IQ ndogo ni ya kulaumu?
Mkuu Kijakazi, asante kwa hii, lengo ni kujifariji tuu!.
Karibu unitembelee kwenye uzi wangu huu, Makazi ya Kisasa Bongo Kama Ulaya!. Hongera JK!,

halafu angalia vila ninamoishi!.

Usafiri wangu ni Dala dala na boda boda na siku nikiwa ehueni kidogo, bajaj, ila nikiona gari zuri, husimama kuliangalia!.

Kila siku napita mtaa wa Samora, Mlimani City, Quality Plaza kufanya window shopping!, ila real shopping ni Manzeshe mtumbani!.

Hata chakula hupita pale Steers au KFC kuchukua harufu, kisha kuishia kwa mantilie!.

Thanks.
Pasco
 
Attachments

  • bv.jpg
    bv.jpg
    77.6 KB · Views: 344
  • article-2173474-140CC6FF000005DC-670_634x475.jpg
    article-2173474-140CC6FF000005DC-670_634x475.jpg
    42.6 KB · Views: 140
Mkuu Kijakazi, asante kwa hii, lengo ni kujifariji tuu!.
Karibu unitembelee kwenye uzi wangu huu, Makazi ya Kisasa Bongo Kama Ulaya!. Hongera JK!,

halafu angalia vila ninamoishi!.

Usafiri wangu ni Dala dala na boda boda na siku nikiwa ehueni kidogo, bajaj, ila nikiona gari zuri, husimama kuliangalia!.

Kila siku napita mtaa wa Samora, Mlimani City, Quality Plaza kufanya window shopping!, ila real shopping ni Manzeshe mtumbani!.

Hata chakula hupita pale Steers au KFC kuchukua harufu, kisha kuishia kwa mantilie!.

Thanks.
Pasco

majengo marefu ni maendeleo makubwa kama yakijengwa kulingana na uhitaji wa kweli ndani ya nchi, kukuza kwa ujanjaujanja ukubwa wa uhitaji kama wafanyavyo NHC ina madhara makubwa kwa nchi kwani inaweza leta maendeleo hasi mabaya zaidi kuliko unavyofikiria kwa miaka ya karibuni hii ilishatokea katika nchi kama 5 za asia zilizofananishwa na chui kwa kasi ya ukuaji wa uchumi.

Mkuu nielekeze kfc ilipo nami nipitiamo kisha nikamwadithie namatoto ladha ya hao kuku waliokaangwa kikorea.
 
Hivi ni kwa nini sisi Waafrika (wengi) hudhani kwamba mji wetu kuwa na Maghorofa mengi na Marefu ndio Maendeleo? Kwa mfano ni kawaida sana kukuta Mwafrika akifurahia kuona Jengo kubwa lenye Ghrorofa labda 50 likijengwa kwenye mji wake ingawaje hilo Jengo haliwezi kumsaidia yeye au ndugu yake yoyote kitu chochote, yaani kwanza kama likifunguliwa hata kuonekana karibu na hilo jengo Hatoruhusiwa atakamatwa na walinzi, sasa ni Kwa nini huwa tunaona Huo Ufahari kuwa na hilo Jengo?

Kuna watu hasa JF huwa wanapiga mapicha ya mavila yanayojengwa na Wahindi na Wazungu halafu kuja kusifia, ona Masaki mavilaa ya ukweli, lkn ukweli ni kwamba hayo mavila hayana faida yoyote kwake Si ajabu mwenyewe anaishi Sinza kijiweni!
Kuna siku wengine walikuwa wamesimama wanasifu msafara wa JK kwamba ni babu kubwa yaani ma BMWmatupu, sasa BMW za JK zinakusaidia nini?

S
asa ni kwanini tuko hivi?
Je, IQ ndogo ni ya kulaumu?

Mkuu mbona hueleweki na kama una ka wivu wivu hivi!

New York umesha wahi kusikia maghorofa ya Donald Trump?
"Waswhili" wa huko wanashangaa shangaa kama sisi tu.

Halafu IQ ,maBMW na Masaki vina uhusiano gani?
Naona kama una tatizo la under achievement.

Mkuu nielekeze kfc ilipo nami nipitiamo kisha nikamwadithie namatoto ladha ya hao kuku waliokaangwa kikorea.
Mkuu Pleo, asante. KFC bongo ziko mbili, moja iko Mwai Kibaki Rd, na nyingine iko Town kwenye kona ya Mtaa wa Samora na Mirambo baada ya Steers ule mjengo mpya. The first KFC restaurant in Tanzania !
Thanks.
Pasco
 
Attachments

  • kfc building.jpg
    kfc building.jpg
    89 KB · Views: 105
  • images.jpeg
    images.jpeg
    7.5 KB · Views: 106

Mkuu mbona hueleweki na kama una ka wivu wivu hivi!

New York umesha wahi kusikia maghorofa ya Donald Trump?
"Waswhili" wa huko wanashangaa shangaa kama sisi tu.

Halafu IQ ,maBMW na Masaki vina uhusiano gani?
Naona kama una tatizo la under achievement.

Nafikiri una shida kama tulivyo Watz wengi ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa, na ndio chanzo cha kusaini Mikataba bila kuelewa Maudhui yake, ngoja nikurahisishie nilichomaanisha!

Ni hivi Marekani kama kuna Majengo marefu kama ya huko Manhatan basi wafaidika wakubwa wa hayo majengo kwa zaidi ya asilimia 85% ni wa Marekani wenyewe, Kama kukiwa na hoteli ya nyota saba Marekani wateja wake kwa zaidi ya 80% ni Wamarekani wenyewe hivyo hamna shida kama wakifurahia kuwa nakitu ambacho kinawanufaisha, sasa hapa Bongo Mavila yote yaliyoko Masaki yanamilikiwa na wageni na wanaoishi humo ni Wageni, Mtz wa Kawaida hafaidiki na chochote kwani hata Kodi ya hayo Majumba Serikali haitozi hivyo hakuna faida yoyote inayotiririka kwa Mtz wa kawaida tena wengine hata LUKU Tanesco hawalipi sasa wewe kama Mtz kuna haja gani ya kufurahia kitu kama hicho?

Marekani na Ulaya kuna kitu kinaitwa property tax au kodi ya Majengo, yaani Majengo yoote yanakatwa kodi kulingana na thamani ya Jengo na hii kodi hurudi moja kwa moja kwa Mtu kawaida hivyo hata kama Mmarekani akifuraia kuwa na Jengo la Ghrorofa 100 Manhattran ni sawa tu, sisi kwetu hamna hiyo, Muhindi najenga jengo la Ghorofa 50 halipi chochote Serikalini, anapangisha wageni wanamlipa mpaka dola za Marekani 10 000 kwa Mwezi na hiyo pesa haikatwi kodi hata ndururu sasa wewe Mtu unayeishi Kawe Ukwamani kufurahia kuwa na hilo Jengo kunakusaida nini?

Na ndio hapo nilipoleta uhusiano Na IQ!

Unaandika mambo ya kufikirika tu.
Ngoja na mimi nikutafunie argument yako, and the analogy.
Sijui huo utafiti wako una data zipi za kuku back up!
Tupe data zako kuwa ownership ya majengo ni 85% American, na kuwa kuwa occupacy ya hols vile vile huko Marekani 80% ni wamarekani wenyewe.

Na tulatie data kuwa mavilla YOTE MASAKI ni ya wageni , na wanaoishi humo wote ni wageni(sic!)A
Halafu majengo hayo hayatozwi kodi-dunno where the hell you got this info!

Mbaya zaidi, ATI Marekani mtu ukiwa na jengo, unatozwa property tax , halafu unarudishiwa tax hiyo----- basically.

Halafu sijui unitoa wapi analogy ya Marekani na Tz, by making sweeping unresearched statements that are unsupported by hard facts.

Na hiyo IQ pengine ndo unaisikia leo, I can hardly make sense from this rumbling.
 
Back
Top Bottom