Kwa nini Waafrika, Maghorofa ni maendeleo?

Kwa nini Waafrika, Maghorofa ni maendeleo?

Unaandika mambo ya kufikirika tu.
Ngoja na mimi nikutafunie argument yako, and the analogy.
Sijui huo utafiti wako una data zipi za kuku back up!
Tupe data zako kuwa ownership ya majengo ni 85% American, na kuwa kuwa occupacy ya hols vile vile huko Marekani 80% ni wamarekani wenyewe.

Na tulatie data kuwa mavilla YOTE MASAKI ni ya wageni , na wanaoishi humo wote ni wageni(sic!)A
Halafu majengo hayo hayatozwi kodi-dunno where the hell you got this info!

Mbaya zaidi, ATI Marekani mtu ukiwa na jengo, unatozwa property tax , halafu unarudishiwa tax hiyo----- basically.

Halafu sijui unitoa wapi analogy ya Marekani na Tz, by making sweeping unresearched statements that are unsupported by hard facts.

Na hiyo IQ pengine ndo unaisikia leo, I can hardly make sense from this rumbling.


Unazidi kutokunielewa, sijasema kwamba property tax au kodi ya Majengo Marekani Mtu anayelipa anarudishiwa la hasha! Bali nimesema hiyo kodi ambayo hao wenye majengo na mavila wanalipa hurudi na kumsaidia Mtu wa kawaida, kwani serikali ya hilo Eneo huitumia kujenga barabara, kusafisha Mitaa, kukarabati Shule n.k

Kuhusu kama Umiliki wa Majengo makubwa na wapangaji wa hayo Majengo ni Wamareknai ama la sina haja ya kujadili kwa maana liko wazi, pato la Mmarakeni ni zaidi ya Dola za kimarekani
50 000
, kama vile ukweli kwamba Majengo mengi na Mavila mengi TZ yanamilikiwa na wageni na wafaidika wakubwa yaani wapangaji ni wageni halihitaji ushaidi wa maandishi bali ni kufikiri tu haya Majengo mengi kodi ya chini kabisa ni Dola 3000 Za kimarekani pato la Mtz wa kawaida ni chini ya Dola 1000, na watz wenye kupata Mshahara wa zaidi ya Dola za Kimarekani 1000 hawafiki hata asilimia 5% (kama Mshahara!) ya Watz wote walioajiriwa hivyo unaweza kukokotoa hapo!

Wewe ndiye uliyeanza kuongelea kuhusu Marekani Manhatan kwamba watu pia wanafurahia kuwa na Majengo Marefu na ndio na mimi nikakujibu kwa kuchukulia Marekani kama Mfano, sasa hata kama na hilo pia umelisahau, sitaki kuamini kwamba una alzheimer kama Warioba kwani naamini bado umri haujafika, basi unahitaji kuchukua likizo labda kutoka kazini au shuleni au kutoka chochote kile unachofanya ili ukirudi uweze kuanza fresh!

Kila La heri!

 
Back
Top Bottom