michepuko ndio inatutuliza nyumbani stress tupu
Michepuko ndio inatutuliza nyumbani stress tupu
Waache waje niwafunde mana wengi wao hawajafundwa!
Waache waje niwafunde mana wengi wao hawajafundwa!
michepuko hupunguza stress sasa huyo baba angekuja na nani kama mkewe hayupo? wewe ukimwi hata usipochepuka unaweza upata ... TUMIA CONDOM
Hata kama utajitoa ufahamu lakini moyoni mwako unajuakabisa hili sio zuri!Kuwa na mchepuko/michepuko ni uamuzi wako lakini basi ukiwa na familia fanya kistaarabu!Kwa wale ambao hawajaoa wanaweza fanya hii kitu but kwa mliooa mna miaka yakutosha kwenye ndoa JIHESHIMUNI! Kwa wadada wenzangun kuweni makini sana ipo siku hizo nyuso zenu zitamwagiwa maji ya moto
Kwa kweli sikubalian na wewe ishi kama upendavyo huwezi toa maji ya moto
Endelea ivyo ivyo ila siku utakapoharibiwa reception yako ndo utajua kuheshimu ndoa za watu! Imagine upo harusini na mume wa mtu, kumbe humomhumo kuna anaemjua mwenye mume, as you know na hii technology bibi anatumiwa picha yako unajichetua na mume wake, akiwa mlokole atamuachia Mungu akiwa mcharukoanakuchemshia maji au anakutafia tindikali!Shauri yako
Kama mfundaji kweli Ungeanza kuzifunda njia kuu jinsi ya kuwatuliza waume zao wasichepuke..
With my mchepuko, I say no to condom. Condom kwa changudoa. Haya makondom lazima uvute hisia sana mno.michepuko hupunguza stress sasa huyo baba angekuja na nani kama mkewe hayupo? wewe ukimwi hata usipochepuka unaweza upata ... TUMIA CONDOM
With my mchepuko, I say no to condom. Condom kwa changudoa. Haya makondom lazima uvute hisia sana mno.