bado haujamsamehe.....ndiyo maana ukimwona unakasirika zaidi.....
kubali hali halisi kwamba ilitokea hivyo.....na umemsamehe na maisha lazma yaendelee......
Ha ha ha sister.. Unaujua msemo ule wa "there's a thin line between love and hate"..?
Inavyoonekana Baby M bado ana mahaba (current yamefunikwa maumivu ya kuwa betrayed) mazito kwa ex wake.. Ushauri wangu kwake ni kukaa na ex wake kuyazungumza.. Either wakubaliane kuachana (kwa njia hiyo maumivu yatageuka huzuni na sio hasira tena) au mahaba yaendelee baada ya x kulipishwa faini kwa kosa la ku-cheat..
Hii ndo defination ya "follow ur heart'..
mahaba yanaonekana yapo.....lakini pia moyo wake bado umekumbatia maumivu ingawa anajifanya kasamehe......
ukisamehe unaanza ukurasa mpya unayaacha yote.....na ukikubali kuendelea nae basi usiwe wa kukumbushia.....yani huyu hata ampige fine lakini bila msamaha wa kweli bado ana kibarua kizito......
Kuna tofauti kubwa kusamehe kwa makosa ya kawaida na kusamehe kwenye issue zinazohusiana na relationship.. sister unaweza kunikosea nikakusamehe fasta hata kama ukiwa mpenzi wangu kama kosa halihusiani na betrayal.. Lakini kama ume-cheat sasa hiyo inakuwa ngumu kwa sababu its about heart now.. Heart control my emotions na kwa sababu my heart's broken to pieces hausikii la mtu.. Ninaweza kusema mdomoni & pretending but moyoni haifiki hata kidogo..
Haya ndo yanayomkuta Baby M now.. Hawezi kusamehe kwa sababu kusamehe sio tendo la hiari when it comes to mahaba nipige shoti.. Moyo wake umevunjwa vipande na moyo ndo umeshika usukani.. Ushauri wangu ni ule ule.. Akae waongee na kuyamaliza..
Ukimpata mtu mwingine utayempenda kuliko yeye huenda you will realistically forget the past... Na utajilaum kwa nini ulipoteza mda kwake.
tupo tofauti.....mie kusamehe nasamehe haijalishi ni swala la mapenzi au laa.....yalishanikuta ila nikaamua kusamehe na maisha yanaenda ........
unajua ukiuendekeza moyo utakutesa sana......saa nyingine maamuzi yako yanabidi yapingane na moyo......
muhimu nachoona asali.....Mungu amsaidie aweze kusamehe na kusahau aendelee na maisha yake.....