Kwa nini tuwekeane vikwazo, tunashindana na nani?

Too much harmful ni kuwanyima watu uhuru
Kama umesoma history utaelewa kuwa uhuru ulipitiliza ni hatari Kwa uhuru. Nakupa mfano zamani kabla yakuwepo Kwa vikwazo nchi zote zilikuwa huru kufanya chochote. Na huo uhuru ndiyo ulikuwa chanzo kikuu Cha vita ya duni 1 & 2 uhuru ulio pitiliza ni hatari Kwa uhuru. Pia hata pale Eden kulikuwa kuna uhuru mkubwa sana onakilicho tokea.
 
Chanzo cha vita kuu ya dunia sio freedom, ni Hitler kutaka kuwatawala wengine na kuwanyima uhuru wao wa kujitawala, nature ya binadamu sio kubanwa na kuwa abused kwa rules za wengine atapigana tuu, America is a great country (maybe not now temporarily kutokana na huyu fala ) sheria zao nyingi zime focus personal freedom ya watu wake, freedom is everything
 
Back
Top Bottom