Kwa wale wafugaji, wanajua vizuri tu kwamba mfugaji bora hupenda mifugo yake, huwalinda na hata hataki mmoja wao achinjwe. Pia wapo wale ambao wanapitiliza kwa upendo hadi kulinda mazizi ya ndugu na marafiki zao ili yasiingiliwe na majangili ....(siongelei meno ya ndovu lakini)!
Katika hali ambayo wengine wanaona ni ajabu, baadhi ya wastaafu tumeishia si kulinda vyetu tu, bali hata vya ndugu na marafiki.
Sasa kosa letu liko wapi? Kwa nini tunalaumiwa?
Babu DC!!
na kwanini ulinde kama hujapewa ruksa ya kulinda au ukipewa ruksa ya kulinda kwanini unavuka mipaka hadi unawaingiza mifugo kwenye hifadhi ya taifa.................................
umeshasema enzi zile,siku hizi mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio saa ngapi utamlea kama sio kutafuta ustaarabu wa kumgegeda.Unamaanisha kuwe ile amri ya kumpenda jirani yako kama nafsi yako hatekezeki siku hadi mhusika atoe ruhusa?
Halafu, mbona enzi zetu tulikuwa twalea watoto wote hata bila kuhitaji kuwafahamu wazazi wao?
Babu DC!!
Babu DC!!!! weka mbali na tembo!!!!!!!
Mkuu kwa kuwa mtu unakuwa umepitia na umeona uzuri na ubaya wake mwingi hutamani tena kuona unaowapenda wakitoka nje ya zizi. Kwa kuwa kondoo anakuwa bado hajajua kama mlindaji, lazima tu ataona ananyimwa fursa yake adhimu ya kujichanganya na kondoo mwitu.
Ikishindikana we waache tu Mkuu wawe huru maana jamaa bado anakazana na meno ya tembo kwa sasa. Bado hajahamia zizini.
Kwani kwenye pori la nyoka, wote ni wabaya?
Huelewi nini mdogo wangu?
Babu. DC!!
nini hiki tena.au
babu unafuga nini maana last time nilivokuja kwako siokuona kuku.bata hata inzi sikuona
au fisi mvunguni?
bora nyoka tunawatambua wakali,wapole,wenye sumu kali nk kuliko mabazazi ukiyaona huwezi kuyatofautisha kama huyu ni kondoo au mbwa mwitu mpaka akurarue ndo utamkubali
Sasa sie wastaafu tunaotumia kila jitihada kuzuia huo unyang'au mbona tunapalaumiwa sana?
mmhhh mbona sielewi elewi
sielewi kwa kweri
am too old for this