Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
Tujadili. kwa nini watu wengine hupenda kujifanya wajuaji na lile wanalojua ndio jibu la watu woote. watu wakimuona Golden mpoleee anajiachia au memba mwingine ajijiachia utasikia ooooh mwanaume. oooh mcharuko. oooh uelewa mdogo. dunia kijiji sasa hata wanawake tunaweza. nani anakupa hio haki ya kumwambia GM ni hivo? kama huko kwenu ww ndio mwamuz yaishiage huko huko tusileteane haya mambo jf. watu wengi wamejaa unafiki. ukiongelea ku do utaseeeeeeeeemwa mpaka basi! hivi nyie watu mnataka kuniambia hua hamduu? mnataka kuniambia siruhusiwi kujiachia kila nikijisikia? aaaaiiii!!!
Golden mpoleeee, mbunge mtarajiiwa. mzuri na mpole.
Golden mpoleeee, mbunge mtarajiiwa. mzuri na mpole.