Kwanini sheria ya uhalifu mtandaoni inalenga zaidi kudhibiti utoaji na usambazaji wa maoni &habari kuliko makosa mengine kama utapeli/wizi?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Kwa nini sheria ya uhalifu mtandaoni inalenga zaidi kudhibiti utoaji na usambazaji wa maoni &habari kuliko makosa mengine kama utapeli/wizi wa kutumia kompyuta/simu nk? Any idea why the focus of enforcement of cybercrime laws is on sharing of information, incl. fictional content?
 
Siku zote watawala wanajali vitumbua vyao visiingie mchanga kuliko njaa zenu, mkitapeliana au kuibiana simu na wewe lipiza hivyohivyo.
 
Ukweli ni kuwa hizo sheria zilitungwa kwa ajili hiyo(watoa maoni) hayo mengine ya utapeli n.k ni gheresha tu.
 
Back
Top Bottom