Kwa nini serikali igombane na wawekezaji? Si wanunue mtambo wa kuyeyusha mchanga na kutoa madini?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Iwapo serikali inaona kuwa inaibiwa kwenye hii biashara ya madini, suluhu ni moja tu...
Wafunge mtambo mdogo wa kuyeyusha huo mchanga na kutoa dhahabua alafu itawachaji wawekezaji kwa kuwayeyushia mchanga.

Biashara ya kuchimba madini lazima iendelee na serikali lazima ijipatie mapato yake na hili litawezekana iwapo pande zote mbili zitafikia maridhiano... Ubabe ubabe na vitisho havitatufikisha popote...
 
Back
Top Bottom