Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Wikileaks ni mtandao wa kina nani?Conspiracy theory kivipi?
Umesoma hizo barua pepe kwenye mtandao wa Wikilieaks
Wikileaks ni mtandao wa kina nani?Conspiracy theory kivipi?
Umesoma hizo barua pepe kwenye mtandao wa Wikilieaks
Wam-track kwani alikuwa amebeba GPS?Jaribu kutafuta info jinsi CIA walivyokuwa wanajaribu kumtrack Che Guevera alivyokuwa Tanzania halafu utapata majibu yote ya maswali yako.
Basi kawaulize CHADEMA sio unaleta umbeya kwenye jukwaa la kimataifa.CHADEMA.
sio unaleta umbeya
Nimekuelewa. Asante.Huwa tunaheshimiana sana naomba tuendelee kuishi hivyo.
Mazoe yasivuke mpaka mimi na wewe tukaingia kwenye mtafaruku usio na mbele wala nyuma.
Kwa hixi email zilivyo, aliyedukuliwa (in my opinion) ni huyo Podesta na sio Obama moja kwa moja.
Si wamemfutia mashtakaWelcome back maana walishaanza kusema mshana ndio scorpion mbn tokea akamatwe scorpion mshana jr hatumuoni humuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Conspiracy theory hiyo, hakuna chochote kilichovuja, na kama kuna taarifa zimevuja ni wao ndo wanavujisha tena zinakuwa ni za uongo ili kuwachanganya watu wasijue kinachoendelea.
Mtandao wa LowassaWikileaks ni mtandao wa kina nani?
Ni kweli Mkuu Na wakishakamatika Wataanza kuleta mambo yao Yaleee ya Propaganda ili waufiche ukweliMarekani ina sifa tu za kijinga kila kitu wanataka wawe wao tu sasa kuna wengine wanafukuza mwizi kimya kimya na ndicho hiki tunachoona.
Kuna professional hackers wa hatari sana,hasa Israel mkuuMkuu Kirahisi rahisi tu?
Hilo nalielewa mkuu wangu.Kuna professional hackers wa hatari sana,hasa Israel mkuu