displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Wanajamvi nimekuwa nikiitazama sana shilingi yetu hasa ya noti sijaona mwaka unaonyesha lini noti husika imeprintiwa/tolewa.
Ni sarafu yetu tu ndio ina mwaka.
Fedha za wenzetu wameweka mwaka tazama US dola nk.
Watu wa maswala ya fedha nisaidie kufahamu hilo swala je mwaka una umuhimu gani kuwepo katika fedha, na kama upo umuhimu mbona ya kwetu haina?! Je wamesahau hao waliobuni hiyo noti au wanamaanisha nini?!
Naomba ufafanuzi!