Sativa alipotekwa, "alipelekwa" kwanza kituo cha Polisi Osterbay na kisha baadaye kupatikana "mikoani"
Watekaji waliojaribu kumteka Deogratius Tarimo, walidai wao ni Askari kutoka Osterbay!
Kwa nini Osterbay?
Wanataka kukichafua kituo cha Polisi Osterbay?
Osterbay wanaweza kukwepa lawama?