Kwa nini ongezeko la kuvunjika kwa ndoa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini ongezeko la kuvunjika kwa ndoa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Jan 17, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ni kweli kuwa tangu zamani mifarakano katika na kuvunjika kwa ndoa vilikuwepo. Hata hivyo, ni wazi kuwa hali hiyo imeongezeka sana siku za karibuni. Baadhi ya sababu zinazotajwa kusababisha ongezeko hilo:

  1.Kukua kwa Teknohama na hatimaye utandawazi.

  2.Harakati za kutaka usawa wa kijinsia.

  3.Ongezeko la wanawake katika kazi za sekta rasmi.

  4.Ndoa kukosa watoto. Hivyo wanandoa wanakosa kiunganishi.

  5.Wanaume wengi hawezi kazi kwa sababu za kibailojia.

  6.Utegemezi wa wazazi kwa watoto wao umeongezeka, ikichangiwa na ukosefu wa sera nzuri ya hifadhi ya jamii. Wazazi hutaka wapendwe zaidi kuliko watoto wao wanavyowapenda wake/waume zao.

  Wengine mnasemaje?
   
 2. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  ni kutokuwepo kwa uaminifu tu....
   
 3. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mi nipo tofauti kidogo na wewe sababu kubwa tofauti na zamani, zamani wazee (mababu na mabibi) wetu walikuwa hawalali nyumba moja au kitanda kimoja hadi siku ya sex hivyo panakuwa na heshima ya ndoa, kuona uchi wa mwenzio hadi siku ya tendo la ndoa tofauti na siku hizi kila wakati unaiona unaishoka matokeo yake unaichoka hamu inaisha then unaenda tafuta mwingine mpya ambaye hujamuona sehemu nyeti

  au jiulize kama k..... na mb.... zinafanana kwa nini mtu anatoak njke?? coz anaichoak kila saa anaiona bora akachek nyingne nje

  solution: mke na mume wakae nyumba tofauti au ikishindikana hata chumba tofauti pawepo na kumisiana hapo ndoa zitadumu kama zamani
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Sababu hizo zinaweza kuchangia lakini kingine ni
  1. Wrong expectations - watu wanaingia kwenye ndoa wakiwa na very wrong expectations. Kwa sababu ya kukosa mwongozo anakuwa anatarajia maisha ambayo ni ya kufikirika tu ndani ya ndoa - not real. Kwa hiyo akikosa (maana maisha hayo hayapo hapa duniani) anaona ameoa/kuolewa na mtu asiye sahihi

  2. Kutokujua responsibilities za kila mmoja - watu wengi inaonekana wanajua rights zao katika ndoa lakini wachache wanajua responsibilities zao. Ni muhimu kujua kuwa ndoa ilibuniwa na Mungu na halikuwa wazo la mwanadamu from the begining. Kila kitu alichoanzisha Mungu amekiwekea kanuni ambazo usipozifuata huwezi kufanikiwa. Kanuni kubwa ktk ndoa ni mme kumpenda mkewe na mwanamke kumtii mmewe. Wanaume wengi hawahitaji kukumbushwa kuwapenda ma-girl friend wao (this looks too natural) lakini wakishaoa upendo wa kweli unakuwa haupo - suala la kwamba unaenda wapi maana inaonekana kama kipindi cha u-girl friend/boyfriend ulikuwepo ni topic nyingine. Kadhalika wanawake wa siku hizi (kutokana na life sytle zao) hawawatii waume zao
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  dah m here for free DARSA....kitchen party its name...ennhh so mkiwa mnapena daily ndo ndoa haitavunjika?
  aya bwna
   
 6. M

  Msindima JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo umenena.
   
 7. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kutoka nje ya ndoa haina maana kuwa ndoa imevunjika. Watu wanaishi hata miaka hamsini katika ndoa bila kugunduana kuwa mmoja wao anamega nje ya ndoa. Ndoa ni zaidi ya ngono rafiki yangu.
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hicho ni chanzo cha nyumba ndogo na utamu nje ukikolea anahamia
   
 9. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mchawa wa ndoa yako ni wewe mwenyiwe...!!
   
 10. Q

  Qadhi JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii maneno imekaa njema Mkuu~~,

  Bora mpeane black and white mapema tena ikiwezekana mbele ya wazazi wenu..muambiane ukweli wa kila kitu,,,,kila mtu ajue ndoto za mwenzie..na mfikie maamuzi ya uhakika kwamba munakubaliana.....kusiwepo kuishi na wishes,dreams ambazo ni illusions...expectations ambazo can't be achieved..in real life..wote muanze from scratch...work hard and smart...mfikie malengo yenu.
   
Loading...