Unaitwa static electricity, kwa ninavyo jua umeme au energy inaweza kuzalishwa kwa kusugua/ friction ya copper na carbon ndio huwezekana kuzalishwa umeme sasa kwenye hili kwa research zangu chemical composition ya nywele iko hivi :- carbon (45%), oxygen (28%), nitrogen (15%), hydrogen (6.7%) and sulphur (5.3%) .etc
Sioni kiwango cha copper hapa. Hivyo nijaribu kufikiri kwa angle nyingine.
Kama tunavyo jua kuwa mwili wa mwanadamu power station ni Ubongo ndio unaozalisha umeme kwa ajili ya shughuli mbalimbali za mawasiliano ya mwili na shughuli nyingine.
Swali: je, nywele zimeungana na mishipa ya fahamu?
Jibu: hili ni suala mtambuka wapo wanoo kubali na wanaokata. Baada yakufanya reasoning nimeelewa zaidi ya kuwa upo uwezekano yakuwa kuna muunganiko wa hizi sehemu mbili kati ya mishipa ya fahamu na nywele mf. Unpokua unahisi baridi, hisia za mapenzi/ sexually arouse, hofu, hasira n.k
Huusisha mabadiliko wa direction ya nywele mfano kusimama au kulala, hivyo kuuwezekani wa muunganiko.
Ikiwa mishipa ya fahamu hubeba umeme hivyo kuna uwezekano unapo chana nywele huweza kuharibu layer ya njee na kuacha nafasi ya ku expose kiwango fulani cha umeme mdogo.
NB: Hii mada imenifanya nijifikirishe jambo hili kwa point ya kwanza sijafanya utafiti wakutosha juu ya friction na joto linalozalishwa kama kunauwekano kuwa linabadilishwa na kua umeme kwa uwepo za components zinazo patikana kwenye plastic na nywele
Ziada: Hii watu wengi hawajui au wamekuwa programed wasijue ingawa ukweli uko kwenye plain sight. Nywele ni antenna kwenye mwili wako (to transfer frequency ni kiungo bora cha tele-pathy). Kuna quote "Akili ni nywele" na issues ya Samson kwenye bible (coded). Imetoa majibu pia watu wanaotraki watu bila kutumia chombo chochote cha electronic wanye ufanisi huwa wanakuwa na nywele ndefu hili pia lilishawahi kufanyiwa research na English men walipo vamia America kipindi cha Vasco da gama. Anyway mambo ni mengi ila niendelee kujifunza kwenu wajuzi wa mambo