Kwa nini nilipie?

Kwa nini nilipie?

Duh...mkuu kwa ushauri pale si pakwenda tena...
aisee pale wananiita pedeshee mtoto kama unavyojua shobo za wanawake ukiwatoa ofa kero kila siku wanataka ila mbunye za pale cjawai kugusa naona kama za ukimwi ukimwi
 
Hahaha ... za wapi hazina?
 
Kwenye maisha ya binadamu wakati mwingine mtu hulazimika au huamua kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine kwa mara moja tu. Mahusiano haya ambayo hayana lengo la kuishia kuwa wanandoa hufanywa kwa kificho au kwa bayana kufuatana na hali (Status) aliyonayo mtu.
Lakini kinachokera kwenye mahusiano haya ni mzigo wote wa kuyastawisha kubebwa na mwanaume. Kama ni kwenda "Guest" basi mlipaji ni mwanaume, kama ni makulaji na manywaji (Manywewa) shuluba itamkuta mwanaume, na mambo kadha wa kadha na zaidi ya hapo mwisho wa siku ni mwanamke atakayeondoka na hela za Mwanaume. Kwa nini??
Hivi ni mwanaume pekee ndiye anayefaidika na raha inayopatikana, yeye mwanamke hasikii chochote au ndiyo kusema "mwana mwenye kilanga" haliliwi?
ingia hapo uone https://www.jamiiforums.com/member.php?u=72054
 
ingia hapo uone [https://www.jamiiforums.com/member.php?u=72054]
 
Sioni kama kuna ubaya wowote kama mwanaume akifanya hivyo au mwanamke!

Alaf haya mambo yanaongeleka tu kama huna pesa si unamwambie mwenza wako ukweli! Mapenzi ni furaha na Amani si kuumizama!

Sema nae!
 
mume wa mtu anaibiwa?

wengi tujuavyo husema wanachumwa tuuuuu, tabu pale wengi wananogewa na kuwa nahamu wao ndio wawe wake. Mume wa mtu huenda nje kula raha tu kupata utamu ambao hata siku moja kamwe mke aachwi labda awe mke aliechoka kabisa kuwa mke.

Wanaume wengi nao husema mke ni mke, na siku hizi na wake nao kwenda nje ni kama fashion. kitu wanachosahau ni huwezi kushindana na mwanaume na always mwanamke nimmalaya akilala nje ovyo.
 
achana na kona bar Tuko,mambo ipo mbagala 5000 unajichagulia!!
Nyingi sana nayo Zamaulid ,
Buguruni najihudumia mpaka Kwa 500/=
Guest House hakuna, bali namalizia kazi vichochoroni kwa kumuinua mguu mmoja juu!!
 
Last edited by a moderator:
Kwenye maisha ya binadamu wakati mwingine mtu hulazimika au huamua kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine kwa mara moja tu. Mahusiano haya ambayo hayana lengo la kuishia kuwa wanandoa hufanywa kwa kificho au kwa bayana kufuatana na hali (Status) aliyonayo mtu.

Lakini kinachokera kwenye mahusiano haya ni mzigo wote wa kuyastawisha kubebwa na mwanaume. Kama ni kwenda "Guest" basi mlipaji ni mwanaume, kama ni makulaji na manywaji (Manywewa) shuluba itamkuta mwanaume, na mambo kadha wa kadha na zaidi ya hapo mwisho wa siku ni mwanamke atakayeondoka na hela za Mwanaume. Kwa nini??

Hivi ni mwanaume pekee ndiye anayefaidika na raha inayopatikana, yeye mwanamke hasikii chochote au ndiyo kusema "mwana mwenye kilanga" haliliwi?

Kwani anayeingiziwa kitu mwilini mwake ni nani?si ni mwanamke, kama mwanamke ndio anaingiziwa kitu ni lazima muingizaji abebe majukumu yote, tofauti na hivyo mwanaume asiingie huko.
 
Nyingi sana nayo Zamaulid ,
Buguruni najihudumia mpaka Kwa 500/=
Guest House hakuna, bali namalizia kazi vichochoroni kwa kumuinua mguu mmoja juu!!
aaaah!!wacha utani bwanaaaa!!500 tu,nitapitia hapo leo!!vipi tutakutana...
 
Kumbe gharama za dhambi ni kubwa???? Heri walio okoka!
mkuu walio okoka nao wana mambo yao!!!!waliwahi kutukomalia tubadili meza yetu ya chakula na vitabu 2 tu!!kisa hatukuwa na hela ya kulipa vitabu!!!!!gharama zipo kila sehemu!!
 
Kwani anayeingiziwa kitu mwilini mwake ni nani?si ni mwanamke, kama mwanamke ndio anaingiziwa kitu ni lazima muingizaji abebe majukumu yote, tofauti na hivyo mwanaume asiingie huko.
Kwa hiyo anayeingizwa kitu naye hahisi kitu chochote?
 
Back
Top Bottom