Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
tunataka kuwe na "Cost sharing" kama ambavyo tunashae kitanda!!
Dah... alafu bajeti yake ilivyopanda siku hizi
Kutengeneneza nywele = 40,000 (mpesa, tigopesa)
Tax na mausafiri = 20,000
Vinywaji = 20,000
Chakula = 20,000
Chumba = 30,000
Ndom = 2,000
Per diem yake = 50,000
Total = 152,000 Kwa tukio moja...
Hapa ni medium estimation... Pale mtu unapoomba gem kwa mdada wa kitaa (no strings attached)
Halafu bado wanaume hatuachi..............!!!!!!!! sijui tumelogwa? Anyway, ndo maisha na ndo tunatafuta hela zitumika
Ila utam is almost sawa na kwenda kona bar... ambapo gharama ya wastani haizidi 50,000 kwa tukio...