BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,487
- 14,064
Nimekuwa nafuatulia Mabunge mengi hasa yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola,nafuatailia sana Bunge la Kenya, Uganda, Zambia, Malawi, South Africa na hata nje ya Africa, Ila pia nimekuwa nafuatilia mabunge mengine yasio fuata mfumo wa Jumuia ya Madola kama Rwanda, Burundi, DRC na kadhalika.
Kote huko Bunge ni sehemu ya kujadili mwaswala magumu sana ya nchi, pigia mstari maswala magummu sana. Mabunge yao kamwe sio kituo cha kujadili ujinga wala kuwa Holday Camp.
Bunge la Kenya nalifuatiliaga sijawahi ona wala kusikia Wakenya wanaenda kutembelea Bunge wala sijui wageni wa Mbu ai wamatambulishwa Bungeni, huo ujinga haupo, Kenya ina wanariadha maarufu mno hasa wale wana riadha ambao wameisha iletea nchi yao medali za dhahabu za kutosha za Olimpic na Mashindano ya Dunia ya riadha. Wale wanariadha wa Kenya hawajwahi kanyaga Bungeni, hawajui Bunge linafananaje
Nchi zote ukitoa Tanzania ni rahisi sana kutembelea ikulu ila sio Bungeni, Bungeni kuanaaminika ni sehemu ya mambo sereouse tu,
Sasa Tanzania Bungeni kumegeuka kuwa ni Holday Camp, ni sehemu ya watu kwenda kufanya show offf daily, basi mtu aende mara moja, hapana unakuta mtu ameisha tembelea Bunge mara hadi 4 ndani ya mwaka mmoja tu. Hao Yanga na Simba sijiui kuba kikao cha Bunge kinaisha hawajaenda Bungeni.
Hizo nchi zingine hawawapendi raia wao jibu ni wanawapenda ila hata raia wao hawaoni umuhimu wa kwenda Bungeni na pia Bunge liko serious na mambo yanayo husu nchi na sio Bunge linalo kaa kujadili Yanga na Simba.
Hata Mataifa yalio twaa World cup huwezi kuta Bunge la nchi linaanza kujadili ushindi wa nchi kwenye world cup, Sasa tuna Bunge ambalo maswala muhimu hayajadiliwi bali ni kijadili vitu rahisi rahisi tu kama kujadili Yanga na Simba huu ni ujinga.