Kwa nini ngono ndani ya gari

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104


Siku hizi imekuwa kawaida kuona au kushuhudia watu wazima bila staha au aibu wakibanjuana au kufanya ngono kwenye magari au Bajaj, hii inachangiwa haswa na nini? Je ni safe kuliko kwenda Guest au Hotelini? Je kuna radha tamu ngono ikifanyiwa ndani ya gari? Je ni kuokoa gharama za kwenda kulipia Guest House au Hotel? au nikuiga tu?
 
It depends on the present situation, sometimes mihemuko haisubiri ufike guest house au home hususan kama ni demu wa haraka
 
Sioni tatizo kama mahali hapo patakua na privacy kidogo maaana enzi zetu tulikuua tunavizia wakienda kuchota maji......nadhani ni ukosefu wa mapori na Guest zimegeuzwa nyumba za ibada. Niliingia iliyokuwa Guest duh nakuta ni maombi kwa kwenda mbele.....niliaibika sana. Nikaokoka papo hapo.......
 
mara nyingi wanaofanyia ktk magari wanakuwa wameiba so ktk gari ni chap chap
 
Maskini weeeer sijui jamaaa alikua ameshafyatua hata risasi moja tu!!!" Kama ni mimi sikubali lazima nimalizie ndio niwasikilize mnachotaka.....tia lock zima gari kabisa jasho sio ishu kwa wakati huo... uongo Dear Little Angel
 
Last edited by a moderator:
Maskini weeeer sijui jamaaa alikua ameshafyatua hata risasi moja tu!!!" Kama ni mimi sikubali lazima nimalizie ndio niwasikilize mnachotaka.....tia lock zima gari kabisa jasho sio ishu kwa wakati huo... uongo Dear Little Angel

kabisa hee utaikoki bunduki bila kufyatua risasi!!!!

this sredi imenikumbusha mbali sanaaaaa...nimebaki nacheka tu..
 
Last edited by a moderator:
mara nyingi wanaofanyia ktk magari wanakuwa wameiba so ktk gari ni chap chap

We na shemeji mnaweza kweli kufanyia uchafu huo ndani ya gari? I mean shemeji mmeo kabisa wa ndoa
 
inategemea na mazingira, hebu fikiri, umemtongoza demu miaka kadhaa bado hajatoa mchezo, sasa siku anaonyesha kukubali mpo uwanja wa michezo UDSM na unajuwa fika kuwa akichomoka hapo, unaweza usimpate tena. Sasa mazingira hayo yanapelekea watu kugegedana ndani ya majumba mabovu, vichakani achilia mbali kwenye gari
 

hawana lolote! Genye mshindo ndo zinawasumbua! Lol
 
teh teh ok me nazani nivuli sana kama utafanya mapenzi kwenye gari lako sehemu yenye usalama pia inapunguza gharama kwa wale wanye kipato cha kuungaunga
 
kabisa hee utaikoki bunduki bila kufyatua risasi!!!!

this sredi imenikumbusha mbali sanaaaaa...nimebaki nacheka tu..
Inaonekana ushagongwa garini kama ambavyo nishagonga garini, maporini, mapagaleni..... Yaani hapa nimebakisha juu ya mti tuu...
 
Jamaa mshamba sana alivuaje suruale?ile Ngom ni zipu inashushwa inalegezwavtrouser mtalimbi unavishwa salama na huyo amevaa baba Dula!
 
we hupendi new experience? hahaaaa asikwambie mtu si unakumbuka siku ile paleeeeeee..

Yeah yeah jamaaaa waliishia kuchungulia tu hadi risasi ikatoka bunduki ikasafishwa na tukaendelea na safari....jamani Guest anasa.....tujifunzeni kutumia resource chache tulizonazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…