Wadau nimefarijika sana na habari kuwa bwana JK amemsimamisha kazi rafiki yake Jairo kwanini na Ngeleja asimfuate?kitendo cha yeye kwenda kumpokea na kumkumbatia ni kulidhalilisha bunge, waziri mkuu na kuonekana kushangilia kosa lilofanyika.
Kwa nini Ngeleja asimamishwe kwa kushindwa kuleta unafaa na maendeleo katika wizara anayo iongoza kwa miaka 4 na zaidi sasa?
<br />Kama ni kufukuzwa kwa kumkumbatia, vipi wale wengine walioshangilia?<br />
Na kama ni hivyo basi hakuna atakayepona...
Si ngeleja pekee na hawa wafuatao ni wakutimua kaziWadau nimefarijika sana na habari kuwa bwana JK amemsimamisha kazi rafiki yake Jairo kwanini na Ngeleja asimfuate?kitendo cha yeye kwenda kumpokea na kumkumbatia ni kulidhalilisha bunge, waziri mkuu na kuonekana kushangilia kosa lilofanyika.
Kwa nini Ngeleja asimamishwe kwa kushindwa kuleta unafaa na maendeleo katika wizara anayo iongoza kwa miaka 4 na zaidi sasa?
kwa taratibu za kiutawala: ngeleja na jairo wote ni uteuzi wa raisi hivyo kila mmoja hapa atahukumiwa kwa dhambi yake. jairo angelikuwa ameteuliwa na ngeleja wote wangepaswa kusimamishwa kazi. vyenginevyo ngeleja asimamishwe kwa kosa la kwake binafsi na si la jairo ambaye ndiye mtendaji mkuu wa wizara. ngeleja ni mtendaji mkuu wa wizara kisiasa na si utendaji..... ie why mwenye mamlaka ya kumsimamisha kazi jairo amekuwa raisi na si waziri wake...Wadau nimefarijika sana na habari kuwa bwana JK amemsimamisha kazi rafiki yake Jairo kwanini na Ngeleja asimfuate?kitendo cha yeye kwenda kumpokea na kumkumbatia ni kulidhalilisha bunge, waziri mkuu na kuonekana kushangilia kosa lilofanyika.
Kwa nini Ngeleja asimamishwe kwa kushindwa kuleta unafaa na maendeleo katika wizara anayo iongoza kwa miaka 4 na zaidi sasa?
kwani sisi tunaviongozi kwa hakika tunajiongoza wenyeweTanzania hatuna Rais tunaye rahisi