Kwa nini Mungu alimuumba binadamu?

Umeona sasa?

Mfano wa Spider-Man, Harry Potter, Superman nk niliutoa mwanzoni kabisa na sio kwasababu ya kujibu hoja ya kuwa Mungu naye ameandikwa.

Nilikuwa nakosoa dhana ya kuamini Mungu kwasababu kuna majina ambayo jamii fulani zimekuwa zikiyaabudu kama miungu kwa lengo la kutafuta ulinzi.

Hakuna sehemu nimesema Biblia wala Quran kuwa ndio chanzo cha kwanza kuhusu swala la Mungu.

Mara kadhaa humu nimekuwa nikisema mtu ndiye aliyemuumba Mungu kupitia mawazo yake baada ya kushindwa kupata majibu ya baadhi ya maswali.
 
Kwa mfano wewe ukiniambia kitu fulani ni scientific fact, mimi nathibitishaje kujua kama hicho kitu kweli ni fact?

Au napaswa tu kukubali ni fact kwasababu wewe umekiita fact?
 
Ulimwengu upi?
 
Kwa wale wanaoamini mungu yupo na ndiye ameumba ulimwengu, kwa nini aliuumba ulimwengu pamoja na viumbe hai ?

Kwa nini hasa mungu alimuumba binadamu ?
Ili upate jibu ondoa fikra zako za kumuweka MUNGU/MUUMBAJI katika umbo na size kimuonekano na jibu ni kwamba ilimpendeza maana ulimwengu ulikuwa tupu palikuwa na giza, maji naye alitanda juu yake hapa Mungu anatoka kabisa katika mtizamo wa sura ,rangi,umbo anabaki katika roho/spirit hana mwili aliumba vyote ili roho ikae ndani ya viumbe vyote ,na anatoka katika roho na kuwa muumbaji/creater, na hapa anageuka kuwa nguvu kubwa "super power" na uumbaji ni ulimwengu/Universe ndani yake kuna maumbo mbalimbali kama dunia na ndani ya dunia anamweka binadamu atawale viumbe vyote,lakini kuna maumbo mengine sayari na nyota kama tunavyoona na kusikia...
Ukisoma vizuri Mwanzo utaona palikuwa giza+utupu+miamba iliyofunikwa na vilindi vya maji na uumbaji ulianzia hapo.
NB hii ni kwa uelewa wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…