Kwa nini msafara wa JK usiwe na ambulance aina ya bajaj?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,351
6,477
Msafara wa Jk siku hizi una kuwa na gari la wagonjwa. Kama Bajaj alizoleta kwa ajili ya akina mama wajawazito zinafaa sana, kwa nini asitumie moja kwenye misafara yake badala ya ambulance ya knight support na kuteketeza kodi yangu hivi hivi? Hivi na Nuclear scientist anakuwa na ambulance kwenye masafara wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…