Kwa nini msafara wa JK usiwe na ambulance aina ya bajaj? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini msafara wa JK usiwe na ambulance aina ya bajaj?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwanamayu, Apr 5, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Msafara wa Jk siku hizi una kuwa na gari la wagonjwa. Kama Bajaj alizoleta kwa ajili ya akina mama wajawazito zinafaa sana, kwa nini asitumie moja kwenye misafara yake badala ya ambulance ya knight support na kuteketeza kodi yangu hivi hivi? Hivi na Nuclear scientist anakuwa na ambulance kwenye masafara wake?
   
 2. m

  mwananyiha JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Si unajua tena kashika kwenye mpini wengine mtajiju.
   
 3. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  Ndo maana Mbeya haendi anaogopa kichapo
   
Loading...