trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Jan 27, 2012 #41 MAMA POROJO said: kwa hiyo chadema hakuna mwanamke qualitative? Click to expand... Mbona huulizii pia kuwa hakukuwa na mwenye ulemavu,angalau wa masikio katika vikao hivyo?
MAMA POROJO said: kwa hiyo chadema hakuna mwanamke qualitative? Click to expand... Mbona huulizii pia kuwa hakukuwa na mwenye ulemavu,angalau wa masikio katika vikao hivyo?
Wingu JF-Expert Member Jan 14, 2011 4,318 401 Jan 27, 2012 #42 labda wameona mchango wao bungeni unatosha huku kwengine wazee watamaliza
MNYISANZU JF-Expert Member Oct 21, 2011 7,048 1,102 Jan 27, 2012 #43 Tuhukumu kwa kuangalia content zilizowasilishwa na siyo mtu.
trachomatis JF-Expert Member Jun 7, 2011 3,758 736 Jan 27, 2012 #44 MNYISANZU said: Tuhukumu kwa kuangalia content zilizowasilishwa na siyo mtu. Click to expand... nimeangalia posts zote sijaona post ikihukumu!! Achilia mbali,inayomuongelea mtu personally. Wote wamejadili contents... Ila tatizo ni moja... Wanasema, Roses and Truth have thorns about them....!
MNYISANZU said: Tuhukumu kwa kuangalia content zilizowasilishwa na siyo mtu. Click to expand... nimeangalia posts zote sijaona post ikihukumu!! Achilia mbali,inayomuongelea mtu personally. Wote wamejadili contents... Ila tatizo ni moja... Wanasema, Roses and Truth have thorns about them....!