Wanawake wengine wizi ni fani yao...jamani kwa wanamme mlooa
inakuwaje mkeo hadi akuibie pesa? Tena kwa kushirikiana na watoto wake mwenyewe?
Mie nadhani hapa kuna tatizo kubwa zaidi ya pesa. Hapa baba anaonekana kama 'intruder' nyumbani kwake mwenyewe.
Mke aliyemuoa hana tabia ya wizi wala udokozi leo kageukaje mwizi? Au kweli wababa wanapenda kusaidiwa kutunza mke?
Mme ana pesa kama nini anahonga tu afu mke hata hela ya mafuta ya kujipaka hadi auze ubuyu? Why?
Eti mie ndio naambiwa nisuluhishe, nisuluhisheje jamani hii familia?
Nataka niwaambie wakae wa-review kama wana haja ya kuendelea kuishi pamoja vinginevyo bora kila mtu akamate njia yake.
sisapoti wizi lakini unaongelea wizi upi?? kuna thread ambayo mama na mwana waliuza nyumba kinyemela ili mtoto asome nje na baba akatoa radhi, unaongelea wizi kama huo au mama kaiba 10,000 ya vipodozi?
Aisee........hao ni wale aina ya wababa akinunua unga na kuweka ndani basi......hajui kama na mke nae ana mahitaji yake mbali na chakula....... Kongosho kama wewe ndie msuluhishi hakikisha unamtwanga huyo mbaba masuali ya msingi!
mie sijui hata niwashauri nini, nipeni busara wakuu.
Ujue kijiji nilichotoka ndo nategemewa kama hakimu.
jamani kwa wanamme mlooa
inakuwaje mkeo hadi akuibie pesa? Tena kwa kushirikiana na watoto wake mwenyewe?
Mie nadhani hapa kuna tatizo kubwa zaidi ya pesa. Hapa baba anaonekana kama 'intruder' nyumbani kwake mwenyewe.
Mke aliyemuoa hana tabia ya wizi wala udokozi leo kageukaje mwizi? Au kweli wababa wanapenda kusaidiwa kutunza mke?
Mme ana pesa kama nini anahonga tu afu mke hata hela ya mafuta ya kujipaka hadi auze ubuyu? Why?
Eti mie ndio naambiwa nisuluhishe, nisuluhisheje jamani hii familia?
Nataka niwaambie wakae wa-review kama wana haja ya kuendelea kuishi pamoja vinginevyo bora kila mtu akamate njia yake.
Wanawake wengine wizi ni fani yao...

mhh!! wanachofanya sio sahihi kabisa na huyo kijana anaonesha uelewa mdogo sana kwa mtoto wa kiume. huyo mke ana haki ya kuchukia lakini kama mume anacheat wanapaswa kuita ndugu/wazee wa busara wawape ushauri, na siyo kuiba kwani huwezi kushinda ubaya kwa ubaya. mke/wazee wamuulize mumewe y anamcheat na wachukue hatua za kupunguza hizo sababu. alternatively achukue uamuzi kama wa huu wa gfsonwinwameiba laki tatu, na mara nyingi hii hutokea akimfumania mmewe na wanawake wengine afu hataki kuomba msamaha.
Wanajiunga nyumba nzima kumkomoa baba yao kwa kumwibia hela.
Imagine mtoto mkubwa ana miaka kama 20, ila yeye ni wa kufikia tena wa kiume anajiunga na mama tusema wa kambo kumwibia baba yao pamoja na watoto wa huyo dada.
Tena huyo wa kiume ndo mshauri mkubwa anamwambia jilipe tu hata ukiziacha hatuzili sie watazifaidi mabarmaids.
mhh!! wanachofanya sio sahihi kabisa na huyo kijana anaonesha uelewa mdogo sana kwa mtoto wa kiume. huyo mke ana haki ya kuchukia lakini kama mume anacheat wanapaswa kuita ndugu/wazee wa busara wawape ushauri, na siyo kuiba kwani huwezi kushinda ubaya kwa ubaya. mke/wazee wamuulize mumewe y anamcheat na wachukue hatua za kupunguza hizo sababu. alternatively achukue uamuzi kama wa huu wa gfsonwin
wameiba laki tatu, na mara nyingi hii hutokea akimfumania mmewe na wanawake wengine afu hataki kuomba msamaha.
Wanajiunga nyumba nzima kumkomoa baba yao kwa kumwibia hela.
Imagine mtoto mkubwa ana miaka kama 20, ila yeye ni wa kufikia tena wa kiume anajiunga na mama tusema wa kambo kumwibia baba yao pamoja na watoto wa huyo dada.
Tena huyo wa kiume ndo mshauri mkubwa anamwambia jilipe tu hata ukiziacha hatuzili sie watazifaidi mabarmaids.
si ajabu mume anadhani mkewe akipendeza ataanza kumsaliti ndio maana hataki kutoa matumizi. Anahisi mkewe akifunguka ataona kuwa yeye (mume) hamjali na kumkimbia hivyo ndio maana anamnyanyasa hivyo. I know baadhi ya wanaume wanapenda wake wasio na kazi ili wasiweze(wake) kuwachallenge hata kama watafanya makosa, its just my theory. for more kutokana mie siko kwenye ndoa, i'll refer this case to Bishanga, Eiyer. gfsonwin (a very wise lady) anaweza kutoa ushauri mzuri zaidikweli kijana ni mdogo na hana uzoefu wa ndoa
so yeye anamshauri tu akili inavyomtuma
mie bado namshangaa baba mwenye nyumba, unawezaje ishi na mke asiye na kazi hufikirii kumpa hata 10, 000 kwa mwezi ya matumizi?
Wakati kila siku warudi saa 6 usiku kutoka bar? Na pesa unazo?
Hebu wanamme wanisaidie kuelewa, kabla sijaitwa kikaoni.
Kinaanza saa kumi kamili